Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015.CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa Taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.Yaliyotokea ZNZ hata Bukoba yaweza tokea.Watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.Wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao,mfano wanaitwa WANYAMA ANGA yaan wanafananishwa na ndege.Hali ipo hata ktk ajira.Mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa Bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.Imishawahi kutokea mkuu wa shule wa Rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu.hii ndio serikali ya CCM yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.TUSIPOIWEKA CDM MADARAKANI 2015 TUTAZIDI KUJUTA!!