Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Ndio umhudumie mama vizuri sasa......
Teh teh..Nishaanza tayari
Ndio umhudumie mama vizuri sasa......
Awww Amen, na usichoke kuniombea baba K. Maana kuongea ni moja, na kutenda ni hatua ya pili.
Yaani hapo nimezungumzia kila mtu anakufa, halafu unabaki wewe tu na mtu mmoja utakayemchagua. Utamchagua nani zaidi ya mpendwa?
Asante! Hivi na wewe unakubaliana na wanao sema swala la mwanaume kutunza wazazi wake ni fadhila tuu na si wajibu wake?Lawyer I hear youuuu. Ndo maana mafundisho yanasema "Mke ndiye anayebeba kusudi la mume wake". Yeye ndiye anayebeba kitu ndani yake cha kumsaidia mumewe ( ni Msaidizi wa mumewe) . Mwanamke akijitambua na kusimama katika sehemu yake, tutaona kwa macho jinsi mwanaume na ndoa yao kwa ujumla itakavyokuwa ya baraka, mume atakumbushwa wajibu wake.
Lakini oa mwanamke Mpumbavu, na tutashuhudia maisha yenu yatakavyokuwa ya ajabu
That is for real, jamaa anataka mbaki wawili tu na mazeri, ili iweje?
Bahati mbaya kwenye huu mjadala watu wanatumia maandiko kuhalalisha makosa yao ya kukimbia m ajukumu ya kuwatunza wazazi waHa ha ha! Madam nilivyokuwa naisoma sentensi nilikuwa nawaza eti ... tutawaacha wazazi wetu kwenda kutafuta pesa...! Kumbe ni kuambatana na mwenzio.
Hehhehehehhe sipati picha mtoto ntakavyokuwa narubuni watu kama daddy anguNtaachaje kukuombea mpendwa..Mi si ndo baba ako wa kiroho..Hata ukiwa na shida nambie
Kwa nature ya maisha yetu waafrika/ watanzania utegemezi ni suala ambalo lipo na litaendelea kuwepo kwa muda kidogo. As long as bado tunaishi kwa kutegemeana " kuwasaidia wazazi ni inevitable". How on earth utawaacha wazazi wako wahangaike while mtoto wao upo na una uwezo wa kuwasaidia? Sio wajibu wako? Ni wajibu wa nani sasa?Asante! Hivi na wewe unakubaliana na wanao sema swala la mwanaume kutunza wazazi wake ni fadhila tuu na si wajibu wake?
Ukitaka kugundu muda mwingine tunawasingizia wanawake kuwa ndio chanzo cha wanaume kutelekeza wazazi wao kabisa fatilia huu mjadala!
Leo hii ni nadra kusikia mwanamke kawatelekeza wazazi wake lakini hili tatizo liko kwa wanaume asilimia 90%,,,,,
Kuna rafiki yangu ana mkewe ana mimba kila leo jamaa anaomba mkewe azae mtoto wa kike na sababu zake anasema watoto wake wana upendo wa kudumu si kwa watu baki tuu bali hasa kwa wazazi wao!
Kila anae soma hapa anaweza kuja na takwimu zake hadi ya wanawake anao wajua walio telekeza wazazi wao na bila shaka tunaweza kosa kabisa.......!
Bahati mbaya hizi lawama tumekuwa tukiwatupia wanawake lakini mjadala unavyo endelea ndivyo utaelewa hata sisi wanaume ni tatizo kabisa halafu mtu anatumia vitabu vya dini kujitetea.....!
I love my mum to death. But if everybody was to die, and i had to save just one person, i'd save my girlfriend/wife without thinking twice.
ha ha ha ha na unaambatana na mwanaume wa aina gani ni mwanaume mwenye pesa ha hahaha... Mungu amekupa only option ya kuchagua mwenza ukimess up shauri yakoHa ha ha! Madam nilivyokuwa naisoma sentensi nilikuwa nawaza eti ... tutawaacha wazazi wetu kwenda kutafuta pesa...! Kumbe ni kuambatana na mwenzio.
ha ha ha ha na unaambatana na mwanaume wa aina gani ni mwanaume mwenye pesa ha hahaha... Mungu amekupa only option ya kuchagua mwenza ukimess up shauri yako
ndiyo maana yake mkuu ukiokota galasha shauri yakoKumbe ni mule mule...!
Yaani hapo nimezungumzia kila mtu anakufa, halafu unabaki wewe tu na mtu mmoja utakayemchagua. Utamchagua nani zaidi ya mpendwa?
Unamaanisha nyie ndo mtakuwa juu ya uso wa dunia kama Adam na Eva , ama?
imeandikwa.... utaiacha familia yako na kwenda kuishi na mkeo!!! nathing new hapo sema tu usisahau wazazi ila priority zinabadilika
Hahaha. Ujue mkibaki wawili tu hatazingua tena.
ndio atakuzingua zaidi si anajua huna pakwenda tena mko wenyewe tu,point yako ya kwamba mtajaza dunia tena ndio naikubali
Teh Teh umenichekesha sana....! Kuwaacha wazazi na kuambatana na mkeo haimaanishi kuwatelekeza na kuacha kuwatunza! Hivi walivyo kulea,kutunza ,kukusomesha haikuwa wajibu? Kwanini kuwatunza wazazi usiwe wajibu wako? Hivi kweli leo hii kuwatunza wazazi wako iwe fadhila na si wajibu ikiwa wao ndio walikufikisha hapo ulipo?
Hakika umepotoka sana.na huwa mnatafsiri vibaya maandiko...! Just imagine ikiwa wewe mwanaume ndio mtoto pekee....!
Mimi naamini swala la mwanaume kutunza wazazi tena walio mzaa ni wajibu na lazima kabisa na wala haliitaji mjadala kutoka kwenye vitabu vya dini!