Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mmh sio kwa huyu baba, yeye anawaza tu pesa za mahari. Hafai kabisaHahaha tena baba ndo mzuri kwasababu ameona ni Kijana anayemfaa binti yake kipenzi
Mmh sio kwa huyu baba, yeye anawaza tu pesa za mahari. Hafai kabisaHahaha tena baba ndo mzuri kwasababu ameona ni Kijana anayemfaa binti yake kipenzi
Teh kufahamiana kutakuhusu, wewe kula tu vya watuUsijali mkuu kila kitu kitakuwa poa. Heaven Sent naomba usinitie aibu tafadhali
Hahahah Hahaha liability mkubwa wewe . Ole wako utoe siri zangu
Usijali mkuu kila kitu kitakuwa poa. Heaven Sent naomba usinitie aibu tafadhali
Ni asset kabisa mbona, we kubaliana na atakachokwambia utaona faida yake kwenye long runHahahah Hahaha liability mkubwa wewe . Ole wako utoe siri zangu
Si ndio hapo. Hata Maza mwenyewe atakushangaa.
dada yangu mwanaume hata awe na busara na hekima kiasi gani, akioa mwanamke mpumbavu lazima ile kwake kwa namna moja au nyingine. kamuulize mfalme selemani au mfalme ahab (1Wafalme 21,2wafalme 9:30-10:1-17)) au wanaume wengine tulio nao kwenye jamii yetu. Ila mwanaume akiwa mpumbavu akaoa mwanamke mwenye busara na hekima hakika amepata kitu chema na vinywa vya watoto, wakwe, majirani n.k vitambariki mwanamke huyo. Wale waliosema ukimwelimisha mwanamke umeelimisha taifa hawakukosea. Kule kijijni kwangu wanaume karibu wote wamekuwa mapoyoyo kisa viroba. Kama si wale kina mama nahisi kingeshakuwa kijiji cha makumbusho.Mwanamke anainfluence kwa mume. Lakini mwanamke Mpumbavu atakuwa na influence kwa mwanaume Mpumbavu pia. Kwa sababu mwanaume anayejitambua hatoyumbishwa na misimamo ya kipumbavu kutoka kwa mke Mpumbavu. Ukiona mwanaume anafanya Vitu vya kipumbavu ujue na yeye ni Mpumbavu pia, sio tu kwa sababu amekuwa influenced. Kwa hiyo wazazi pamoja na majukumu yote, tunapaswa kuwaombea watoto wetu, Mungu awaepushe na wake wasiojitambua.