Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
KIJANA AMBAYE HAJAOA
(I) Huwa anampenda sana mama yake, mama yake ndio anakuwa first class, endapo mama yake anaumwa na mchumba wake anaumwa basi atampeleka mama yake hospitali kwanza kabla ya mchumba wake.
BAADA YA HUYO KIJANA KUOA
(II) Mke wake anakuwa firsr class, yaani mama yake mzazi akiwa na shida na mke wake akiwa na shida basi kijana huyo ataanza na mke wake kisha mama atakuwa wa mwisho na hapa ndio unaona kijana anamnunulia gari mke wake lakini mama yake hana hata baiskeli.
BAADA YA HUYO KIJANA KUPATA MTOTO
(III) Watoto wanakuwa ndio first class, mke ni second class na mama anakuwa third class. Hapo ndipo unakuta kijana yupo tayari kupeleka mtoto wake kutibiwa India lakini mama yake mzazi atampeleka kutibiwa Mwananyamala.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Last edited by a moderator: