Waliotengeneza magari ni wabongo?Niambie napotosha. Hivi ww umewahi kufikiria ingekuchua siku ngapi kusafiri tunduma hadi dar kwa farasi? au dar mpaka china kwa mashua zile za upepo?
Hebu niambie napotosha wapi?
ah wapiiRegardless ni Injinia wa wapi ukweli utabaki hivo.
Ukweli utabaki hivo. Ninaelewa kwamba kutegemeana kupo. Ni vitu vingapi unatumia ambavyo unatumia na vimekuwa made from industries au component za hivyo vitu zimekuwa made from industries? Unakwama wapi?Umefikiria kwa akili ndogo sana....ungefahamu kua kila taaluma ili umuhimu wake na zinafanya kazi kwa kufaidiana usingeandika hiki...maana atakuja mwalimu hapa atasema mimi napika kila taaluma....daktari nae atasema mimi naokoa maisha ili mwanadamu aweze fanya shughuli zake za kila siku...vipi hapo nani anathamani?...kifupi kila taaluma ina umuhimu wake kwa wakati wake.
Bila engineer huyo surgeon hawezi kufanya kitu. Innovations zinazofanyika kwenye field ya medicine zinakuwa engineered na engineers, biomeds, bioinformatics, biomechanics..etc.Anaanza Mungu
Anafwatia surgeon
Injinia anakua wa 3
Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.
kwa hio mafundi cherahani nao ni ma injinia sio??Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.
hao nao ni miungu sio??Anaanza Mungu
Anafwatia surgeon
Injinia anakua wa 3
Naona mafundi mchundo wameanza kujitangazaKama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.

Anaanza Mungu
Anafwatia surgeon
Injinia anakua wa 3