Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,446
- 72,908
SAWA
Hao wachina sio ma engineer? mtoa mada amesema engineer regardless wa wapi!Mainjinia hawa hawa walioshindwa kuipunguza foleni ya ubungo hadi alovyokuja mchina?
ukijua def ndo umejua engineering??Hii thread ni ya kipuuzi watu wanaogundua Vifaa wengi hata Def ya Eng hawaijuii...!!
Kwenye surgery tunaongelea ile ART sio vifaa...Heheheh... hebu kuwa serious kidogo. Hizo huyo surgeon anatumia tools zilizotengenezwa na nani? Zamani walikuwa wanakatia mawe, hivi umefikiria ww ukifanyiwa surgery kwa tools ambazo zimetengenezwa na mawe ni nini kitakupata?
Itakuwa eng wewe...maana uelewa wako ni mdogo sana...!! Nimesema hivyo nikimaanisha waliovumbua vitu vingi sio Maeng kabisaa na hawajawai kusoma Eng na hapa Bongo hamsomi eng ila mnasoma Historia ya Eng..ukijua def ndo umejua engineering??
Natamani nikutukane kwa uzezeta wako ila kwa sasa hapana wacha nikuelekeze.. unadhani engineering ni cheti? kuwa engineer unadhani uwe umeenda chuo ukapata degree? haipo hivyo.. Zamani wengi walikuwa ma engineer mfano Da vinci na wengineo..Itakuwa eng wewe...maana uelewa wako ni mdogo sana...!! Nimesema hivyo nikimaanisha waliovumbua vitu vingi sio Maeng kabisaa na hawajawai kusoma Eng na hapa Bongo hamsomi eng ila mnasoma Historia ya Eng..
Wabongo kwa kujifariji hamjambo,tooth pick tu tunashindwa kutengeneza halafu nijifeel proud kwa nguo zilizotengenezwa China[emoji1787][emoji1787]Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.
Umekosea wanaofuata ni Wazee wa Kemia na Mtukufu Jiwe ndio kiongozi.Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.
So Eisten alisome Uingeneer wapi?? Au teslaNatamani nikutukane kwa uzezeta wako ila kwa sasa hapana wacha nikuelekeze.. unadhani engineering ni cheti? kuwa engineer unadhani uwe umeenda chuo ukapata degree? haipo hivyo.. Zamani wengi walikuwa ma engineer mfano Da vinci na wengineo..
😂 😂 😂 😂Ma-engineer wa nchi gani....hawahawa wakibongo au wachina??
Kweli mkuu hata wale waliojenga mnara wa babeli nadhani walikua mainjiniaHao wachina sio ma engineer? mtoa mada amesema engineer regardless wa wapi!
Hao wengine Einstein na Tesla ni wasomi.. walienda shule.. Mf huyo Davinci hakukanyaga Darasa na amekuwa Engineer.. kuwa Engineer ni Kufanya Engineering Things.So Eisten alisome Uingeneer wapi?? Au tesla
Absolutely..Kweli mkuu hata wale waliojenga mnara wa babeli nadhani walikua mainjinia
Itakuwa eng wewe...maana uelewa wako ni mdogo sana...!! Nimesema hivyo nikimaanisha waliovumbua vitu vingi sio Maeng kabisaa na hawajawai kusoma Eng na hapa Bongo hamsomi eng ila mnasoma Historia ya Eng..
Baada ya Mungu,mzunguKama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.
Wee "Def ya Eng" ndiyo nini usiandike vitu usivyovijua waachie wenyewe wana TaalumaHii thread ni ya kipuuzi watu wanaogundua Vifaa wengi hata Def ya Eng hawaijuii...!!