Baada ya uumbaji wa Mungu, Engineers wanafuata

Baada ya uumbaji wa Mungu, Engineers wanafuata

Hii kufuru uliyotumwa na shetani ...haya we endelea ila Mungu hana mshirika kwenye uumbaji wake
 
Leo tukikuambia utuonyeshe mnara wa babeli uko wapi utatuonesha?
Mkiniambia wewe na nani? Wewe huwezi kuuona maana ili ukauone unahitaji tiketi ya ndege malazi etc kitu ambachi huna
 
Wee "Def ya Eng" ndiyo nini usiandike vitu usivyovijua waachie wenyewe wana Taaluma
Hongera eng[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia haiwezi kwenda bila wewe ila watu wanaweza ishi bila madaktari bila wafamasia..!! HAKUNA ALIEBORA ZAIDI YA MWINGINE wewe na kujidai Eng wa kuchorwa ukiumwa hapa jasho kila sehemu...
 
Engineering ni neno pana sana. Kuna Engineering kama Profession inayohusika na maswala ya Sayansi hasa katika uendeshaji wa mitambo (Engines).

Pia kuna Engineering kama utekelezaji wa jambo lolote lile kwa ufanisi mkubwa.

Mfano. Mtu yeyote akifanya tukio kubwa la uhalifu kama vile ujambazi kwa ufanisi mkubwa na kufanikiwa bila kugundulika wala kukamatwa huwa tunasema; The person engineered a perfect crime.
 
Madaktari wanapotengeneza tumbo, moyo, utumbo, Figo bwana waacheni hawa watu wanywe biereee.
Kokote mlipo mnywe tutaweka kwenye 0T
 
Acha kuota ww. Maisha yangu huyajui hata kidogo.
Mkiniambia wewe na nani? Wewe huwezi kuuona maana ili ukauone unahitaji tiketi ya ndege malazi etc kitu ambachi huna
 
Kwa kifupi tu labda ni kwamba Engineering ndo imeibadili dunia from Classical to Modern World. Hebu niambie kipindi hicho babu zako wanavaa majani, je walikuwepo masurgeon? Watu wakiumwa si walikuwa wanachemsha tu mitishamba?
Hongera eng[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia haiwezi kwenda bila wewe ila watu wanaweza ishi bila madaktari bila wafamasia..!! HAKUNA ALIEBORA ZAIDI YA MWINGINE wewe na kujidai Eng wa kuchorwa ukiumwa hapa jasho kila sehemu...
 
Hayo yote wanayoyafanya enginnering imeplay part yake kubwa tu hadi kuyafanikisha hayo. Kuanzia kwenye madawa, tools na machine zinazotumika mahospitalini
Madaktari wanapotengeneza tumbo, moyo, utumbo, Figo bwana waacheni hawa watu wanywe biereee.
Kokote mlipo mnywe tutaweka kwenye 0T
 
Hayo yote wanayoyafanya enginnering imeplay part yake kubwa tu hadi kuyafanikisha hayo. Kuanzia kwenye madawa, tools na machine zinazotumika mahospitalini

Injinia anaweza pasua tumbo au kichwa cha mtu na kukirudisha km mwanzo.
 
Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.

Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.


Wanafuata Madaktari na Manesi, huokoa Maisha
 
Injinia anaweza pasua tumbo au kichwa cha mtu na kukirudisha km mwanzo.
Je huyo daktari tukimrudisha stone ages. Ataweza kufanya huo upasuaji kwa kutumia mawe? Ama huelewi vitu almost vyote vinavyotumika hospital Engineer amefanya kazi yake?
 
Wanafuata Madaktari na Manesi, huokoa Maisha
Madawa, tools (kuanzia sindano mikasi n.k.), Mashines ( kuanzia ventilation mashine, X ray, CT scan, MRI n.k.), Huo umeme unaotumika mahospitalini. Hayo majengo ya hospital.

Hayo yote niliyokutajia hapo bila injinia ni kazi bure. Kwa hiyo pamoja na kwamba wanaokoa maisha lakini kwa upande flani hawawezi bila msaada wa mainjinia.
 
Civil Engineers wa bongo hawana kazi. Wanafanya kazi ya kusimamimia barabara, nyumba, majengo ya maabara, hospitali kazi ambayo any body anaweza kufanya na Mafundi. Kazi zao nyingi ni za Technicians.
Hata Round about plan ya Ubungo kuondoa Foleni iliwashinda mpaka Mchina aka interven.
Kwa Africa at least
1. Wasanifu majengo (Architects)
2. Wakadiria Majengo ( Building Economics)
Ndio professional zao zinatumika
Ila Electrical Engineer, Machenical Engineer, Production Engineer, Civil Engineer HAKUNA WANACHOKIFANYA!!!
at least Chemical Engineer na wenyewe Kazi zao zinafahamika
 
Back
Top Bottom