Baada ya rushwa, kukashifu, sasa Jerry Muro ataka kudhuru mtu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Na Inayoendeleza Nidhamu Mbovu Ya Kiutendaji Ya Msemaji Wa Klabu Ya Yanga Jerry Muro Sasa Amekuja Na Mpya Baada Ya Juzi Akiwa Mkoani Tanga Kutaka Kumpiga Risasi Shabiki Mara Baada Ya Kuingia Ktk Mzozo Na Yeye Kushindwa Kuvumilia.

KWA TAARIFA KAMILI YA TUKIO ZIMA TAFUTA GAZETI PENDWA NA LINALOAMINIKA NA WASOMAJI LA NIPASHE LA LEO TAREHE 1 FEBRUARY 2016 KURASA YA MWISHO.
 
Kwa nia nzuri, jitahidi kufuata kanuni za uandishi. Tumia herufi kubwa pale panapo stahili, unless kama elimu yako ni ya darasa la pili. Ni aibu na kero kwetu.
 
Kwa nia nzuri, jitahidi kufuata kanuni za uandishi. Tumia herufi kubwa pale panapo stahili, unless kama elimu yako ni ya darasa la pili. Ni aibu na kero kwetu.
Mkuu naona umeamua kujitafutia kutukanwa.....
 
Mimi navizia tu comments za Genta atakavyojibu. Yani nakuahakishia atatoka nje ya mada
 
Kwa nia nzuri, jitahidi kufuata kanuni za uandishi. Tumia herufi kubwa pale panapo stahili, unless kama elimu yako ni ya darasa la pili. Ni aibu na kero kwetu.
jamaa nasikia anachukua sasa hivi masters in Catering services
 
Back
Top Bottom