Baada ya nyiongeza ya mshahara nimeona niongeze mke

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
480
Reaction score
605
Habari Wana JF.
Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October.

Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke nilibahatika kupata mwanamke mwingine ambae nilizaanae ila mkewangu hajui kwani nilikua namlea kimya kimya kutokana na mshaharawangu kua mdogo, hvyo neema ya October tunatiki inanifanya nimuweke mkewangu wazi kua kunamwenzake niliebarikiwa kupata nae mtoto na niwasogeze wakae karibu ili kupunguza gharama.

Jambo lingine kunabint wahapahapa kazini ambae tunapendana sana naniponae kwenye mahusiano takribani mwaka mmoja ila hatujabahatika kupata mtoto kuhofia Hali yakiuchumi ila kwasasa nikiongeanae ili tuweze kupata mtoto japo nilimwambia tutaishi wote pale tutakapojenga, swala hili alilibariki namimi pia niliamua kulipitisha kwakua nimempima nimtuu ambae Hana mambo mengine naamewapita Hawa wakezangu wengine pakubwa kwani yeye anakipato kwahyo anaweza kumlea mtoto mwenyewe.

Naombeni ushauri nifanyaje watumishi wenzangu ilhali wote watatu niweze kuwaweka sehemu Moja 🙏🙏
 
Na wewe dada zako wanafanywa hivyo hivyo.
 
Ndomaana watu wanasema ukiwa mtumishi wa umma akili zinalala, kuongezewa take home ya elfu 80 ndo unawaza kuwa na wanawake watatu? Afu taifa likiwa masikini mnalaumu serikali na mabeberu, kumbe umasikini upo akilini kwenu.

Back
Top Bottom