Baada ya Mwigulu kufutwa uwaziri, hii ndio post niliyoielewa sana kutoka Twitter

"Mwigulu alikuwa na nafasi ya kuwa shujaa, mara nyingi tu. Mara zote ambazo mauaji yalifanyika, watu walipotea na mamlaka ya uteuzi ikamfunga mikono, alipaswa kujiuzulu kwa sababu kama umepewa kazi na unakwazwa katika kuifanya basi hiyo kazi haina maana. Timing."

Walikuwa wanatushauri tujiajiri. Na yeye akajiajiri basi aoneshe mfano!
 
Bora alivyongojea kutumbuliwa maana alijijuwa kuliko angetaka kujiuzulu wangekuwahi fasta na hata kama angefanikiwa angejiweka nafasi mbaya zaidi na hata kupotezwa kabisa kwenye ramani maana baba hakubali kushindwa na wanawe
Baba ubaya ni nomaaa
 
"Mwigulu alikuwa na nafasi ya kuwa shujaa, mara nyingi tu. Mara zote ambazo mauaji yalifanyika, watu walipotea na mamlaka ya uteuzi ikamfunga mikono, alipaswa kujiuzulu kwa sababu kama umepewa kazi na unakwazwa katika kuifanya basi hiyo kazi haina maana. Timing."
kinadharia ni rahisi sana kama usemavyo, practical wise inaweza kuwa tofauti sana
 
Back
Top Bottom