Baada ya Mwananyamala, mengine yaibuka..

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Kuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda Radio Safina, mh kasema makubwa.

kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na kunywa damu za watu.

Siku moja akiwa katika mizunguko yake, akapita nyumba moja palikuwa panafanyika maombi, ndo akachanganyikiwa akajistukia anakimbia uchi, ndo watu wakasema mchawi mchawi wakampeka kuombewa. Baada ya hapo akakubali kuokoka na kueleza A to Z. Amesema ameua wajawazito, ameuwa hata wale watoto waliofiwa kwenye kumbi za Disco Dar.

Alikuwa anakaa kwenye Jumba la Waziri mmoja Dar. huyo dada anaendaga kwenyekumbi za disco, anakuwa mzuri na wanaume wanampapatikia. Mwanaume akimchukua kwenda kulala nae, huyo mwanaume anapelekwa kuzimu

Nawaambieni kuwa Mungu yupo, na Anaweza kufanya maajabu. Wanadamu tuache dhambi na kusali.
 
let her air out live in television na kiwe kipindi maalumu then if possible amtaje that minister,we live and belive tangible evidences,otherwise ...
 
wengine ni schizophrenic huwa wana vivid hallucinations tu
 
LO mzee hapo juu hayo mavimombo wengi umetuacha njia panda. hakuna lugha rahisi kidogo?
 
kuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda radio safina, mh kasema makubwa.

Kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na kunywa damu za watu.

Siku moja akiwa katika mizunguko yake, akapita nyumba moja palikuwa panafanyika maombi, ndo akachanganyikiwa akajistukia anakimbia uchi, ndo watu wakasema mchawi mchawi wakampeka kuombewa. Baada ya hapo akakubali kuokoka na kueleza a to z. Amesema ameua wajawazito, ameuwa hata wale watoto waliofiwa kwenye kumbi za disco dar.

Alikuwa anakaa kwenye jumba la waziri mmoja dar. Huyo dada anaendaga kwenyekumbi za disco, anakuwa mzuri na wanaume wanampapatikia. Mwanaume akimchukua kwenda kulala nae, huyo mwanaume anapelekwa kuzimu

nawaambieni kuwa mungu yupo, na anaweza kufanya maajabu. Wanadamu tuache dhambi na kusali.

wizi mtupu hakuna lolote,,,,

Ndio kusema watanzania tumekuwa tukitumia dimension nyengine kabla wazungu au
 
Jamani kuna hata mmojawetu anayewajua wale wanaoitwa Msukule ambao wamefufuliwa na yule Mchungaji ambaye alikuwa Ubungo na sasa kahamia Kawe?,historia yao tangia utoto ilikuwaje,walikuwa wanaishi wapi kabla hawajafa?, wazazi wao wapo wapi?, mbona huwa hawaendi kwenye vyombo vya serikali ili legal procedures zichukuliwe kwa wale waliowatesa?......... La mwisho hivi kuna aliyejiuliza mbona wachungaji wakubwa wote wa hapa tz,makanisa yao yanapatikana wilaya ya Kinondoni tena low and medium density areas,Ubungo,Mwenge,Mikocheni,Kawe,Mbezi Beach nk.....nataka tuchemshe bongo zetu tu jamani sina maslai binafsi wala nia mbaya!
 
Acha kina R.A na wengine wale nchi.yaani mambo ya misukule ni fikra za wakati wa majimaji!teh teh teh
 
Jamani kuna hata mmojawetu anayewajua wale wanaoitwa Msukule ambao wamefufuliwa na yule Mchungaji ambaye alikuwa Ubungo na sasa kahamia Kawe?,historia yao tangia utoto ilikuwaje,walikuwa wanaishi wapi kabla hawajafa?, wazazi wao wapo wapi?, mbona huwa hawaendi kwenye vyombo vya serikali ili legal procedures zichukuliwe kwa wale waliowatesa?......... La mwisho hivi kuna aliyejiuliza mbona wachungaji wakubwa wote wa hapa tz,makanisa yao yanapatikana wilaya ya Kinondoni tena low and medium density areas,Ubungo,Mwenge,Mikocheni,Kawe,Mbezi Beach nk.....nataka tuchemshe bongo zetu tu jamani sina maslai binafsi wala nia mbaya!
Those are sheer fabrications on the part of fake pastors that aim at intimidating people who will later fall prey to their dirty tricks.
Nina mashaka kama huyo mama aliyekuwa akitoa ushuhuda kama si mgonjwa wa akili (Schizophrenic)ambaokuna wakati wanapata maono (illusions) na (vionjo) vya bandia. Ikiwa kweli wapo msukule waliofufuliwa na hao "Watumishi wa Mungu" waliozagaa kila kona nchini na wamerudia maisha yao ya zamani kwa nini wasiwashtaki waliowatesa na kuwadhalilisha ili hatua za kisheria zichukuliwe?
Watanzania tumekuwa watiifu wa kuwaamini sana matapeli hawa wanaotujia kwa majoho ya upasta, unabii, umitume n.k. bila kufikiri sana. Kuna yeyote anaweza kututajia ni nani alichukuliwa msukule, alizaliwa wapi, alikufa lini? Nani na wapi walimzika? alifufukia wapi ikibidi tumpime na DNA kuthibitisha uhalisia wa vinasaba vyake. Mitume hao wanaowachagiza kuacha kwenda Hospitali kutibiwa ndiyo wa kwanza kwenda Hospitali hata wanapougua mafua! Mtafilisika kutoa sadaka zitakazoishia kwenye matumbo manene ya wahalifu hawa.
 
Kuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda Radio Safina, mh kasema makubwa. kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na kunywa damu za watu. Siku moja akiwa katika mizunguko yake, akapita nyumba moja palikuwa panafanyika maombi, ndo akachanganyikiwa akajistukia anakimbia uchi, ndo watu wakasema mchawi mchawi wakampeka kuombewa. Baada ya hapo akakubali kuokoka na kueleza A to Z. Amesema ameua wajawazito, ameuwa hata wale watoto waliofiwa kwenye kumbi za Disco Dar. Alikuwa anakaa kwenye Jumba la Waziri mmoja Dar. huyo dada anaendaga kwenyekumbi za disco, anakuwa mzuri na wanaume wanampapatikia. Mwanaume akimchukua kwenda kulala nae, huyo mwanaume anapelekwa kuzimu Nawaambieni kuwa Mungu yupo, na Anaweza kufanya maajabu. Wanadamu tuache dhambi na kusali.
Nadhani watoto na waliochanganyikiwa ni rahisi kuamini
 
let her air out live in television na kiwe kipindi maalumu then if possible amtaje that minister,we live and belive tangible evidences,otherwise ...
Inabidi ifanyike hivyo ili watu waamini.
 
Tunahitaji madaktari wa vichaa Tz, vinginevyo jamii inaelekea pabaya.:A S 13:
 
let her air out live in television na kiwe kipindi maalumu then if possible amtaje that minister,we live and belive tangible evidences,otherwise ...
Ngoja nikusaidie kumalizia mkuu, otherwise ni crap in its pure form hahahaha lolz
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom