[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisa yani.Mambo ya kutongoza mtu mnafanya nae kazi hata fix huwezi kumpiga mshahara wako anaujua huwezi kuvimba vzr
Ha hahaa kazi hiyo ilishanishindaga aiseee....sasa jitu zima linataka kutongozwa tongozwa kila wakati " kama SMS za Tatu mzuka kwa wateja wao ndio nini ...? utoto huomtu anakutaka anataka uonyeshe juhudi zaidi ili asionekane rahisi yaani wewe unatongoza mara 1 lazima anune mwanamke anapenda kung'ang'aniwa na kurudiwa rudiwa ili usijesema ulimpata kirahisi
Ha haha hahaha ....mfuate pm huyo hahahaakwani watongozaji wako vipi
au unataka nikuchek pm
Hukoofisini kwenu hamna kazi za kufanya?wakuu
Niliamua kumtongoza mfanyakazi mwenzangu, hali imekuwa tofauti kanuna kabisa no salamu hataki kunisikia wala kunioa, ikitokea tunakutana hata kwa bahati mbaya husubiri au hata kujificha akisubiri nifanye yangu ndio nae afanye shughuli zake, nimuonavyo yaani anatamani hata kuama ofisi
Hapo awali nilikuwa siko na mazoea nae zaidi ya salamu tu no more story.... lakini mtongozo ule tu tena hata sio wa kumganda sana maana nillikwisha comply na majibu yake nikachukulia poa maisha yaendelee lakini yeye yuko hivyo tu full minuno na mimi kwa jeuri namsalimia daily tena mbele za watu kwa bass kubwa
Hii ni utoto ndani ya mtu mzima au?
Ha hahaaa na mapato ya kampuni ya kiyumba ...mkawa hamjalipwa mshahara mnakuwa wote ni wahanga""Mambo ya kutongoza mtu mnafanya nae kazi hata fix huwezi kumpiga mshahara wako anaujua huwezi kuvimba vzr
Upo kwenye right truck mkuu. Lazima umle, kwa hapo alipofikia, akikukatalia naomba uniue.wakuu
Niliamua kumtongoza mfanyakazi mwenzangu, hali imekuwa tofauti kanuna kabisa no salamu hataki kunisikia wala kunioa, ikitokea tunakutana hata kwa bahati mbaya husubiri au hata kujificha akisubiri nifanye yangu ndio nae afanye shughuli zake, nimuonavyo yaani anatamani hata kuama ofisi
Hapo awali nilikuwa siko na mazoea nae zaidi ya salamu tu no more story.... lakini mtongozo ule tu tena hata sio wa kumganda sana maana nillikwisha comply na majibu yake nikachukulia poa maisha yaendelee lakini yeye yuko hivyo tu full minuno na mimi kwa jeuri namsalimia daily tena mbele za watu kwa bass kubwa
kiumri yuko matured mtu mzima kabisa, sijui anatizo gani maana kwa umri wake hakupaswa kunichukia sababu tu ya mtongozo tena usio wa kulazimisha!
Hii ni utoto ndani ya mtu mzima au?