Baada ya Monica Lewinsky sasa ni zamu ya huyu

Baada ya Monica Lewinsky sasa ni zamu ya huyu

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
13.jpgKama unakumbuka ile kashifa iliomkumba wakati huo Rais Bill Cliton ya kuwa alikuwa na mausiano na Bi monica Lewinky sasa imeibuka nyingine kwamba anamauziona na alikuwa na mausiano na bi mdada hapo kwenye picha hapo juu anaejulikana kama Elizabeth Hurley.
13.jpg Monica Lewinsky.
 
Hii ndo ile wanasema Wakubwa wanafaidi.
 
kawaida sana kwa mwanaume rijali
Wafatiliaji wa mambo wanaangalia kwamba linaweza kuwa kikwazo kwa mkewe kwenye harakati zake za kuwania urais mara baada ya Obama kumaliza mda wake.
 
Kwani nalo hilo ni siasa, wacha akamue vitu, maisha yenyewe mafupi.
 
Nafasi na muda vikiwepo hupaswa kutumiwa kikamilifu...
 
Wanaume wazima mnaacha yenu na kumfuatilia mwanaume mwenzenu au mlitaka atoke na mashoga.
Nalog off
 
Wafatiliaji wa mambo wanaangalia kwamba linaweza kuwa kikwazo kwa mkewe kwenye harakati zake za kuwania urais mara baada ya Obama kumaliza mda wake.
Hao wafuatiliaji wa mambo wanasema kuwa watalihusishaje sakata hilo (kama kweli) na kugombea urais kwa mkewe?
 
Back
Top Bottom