baada ya mlipuko wa mabomu sasa tuomboleze kwa kutafari haya.

baada ya mlipuko wa mabomu sasa tuomboleze kwa kutafari haya.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
heshima kwenu wakuu wote ndani ya jforum.kama tunavyofahamu nchi yetu imeingiliwa na mdudu hatari katika kambi za kijeshi.hapa nchini.mdudu ambae kama hato pigwa afe ataendelea kuyabungua mabomu mpaka siku atakapo uwawa.kwa maana ya kwamba kama ni uzembe basi hautoisha mpaka tutakapo shtuka na kuchukua hatua moja mbele.ndugu zangu katika jf hivi sasa duniani mataifa mengi yanashindana kutengeneza siraha nzito za maangamizi tena inasemekana kuna siraha nyingi mno ambazo sio za moto zenye madhara makubwa zaidi.ninachojiuliza kama kila siku watu wanazidi kutengeneza siraha na kuhifadhiwa katika maghara kwa uzembe kama uliyotokea mbagala na g.mboto uzembe huu huu utokee katika maghara makubwa duniani.binafs sipati picha. Tafakari
 
mkuu ndio mana naomba mungu tanzania wasije kutengeneza nyukilia au silaha nzito za maangamizi jamani tutakwisha
 
mkuu ndio mana naomba mungu tanzania wasije kutengeneza nyukilia au silaha nzito za maangamizi jamani tutakwisha

dr.umesema jambo muhimu.hata mimi nadhani juhudi zetu sisi wa-tz naona kama tumefikia mwisho wetu wa kufikiri.hivyo tuombe nusura toka kwa mungu baba.
 
Back
Top Bottom