Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,052 Jul 19, 2014 #41 Hahahah hii kali mi najivunia kuwa pritty wa Joseph nalo ni kosa?Ni shidaaaaa
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,276 Jul 19, 2014 #42 na hivi kuna siku bulldog aliweka picha ya miss chagga nahisi atakuwa kavutiwa nae kwi kwi kwi kwi kwi kwi
na hivi kuna siku bulldog aliweka picha ya miss chagga nahisi atakuwa kavutiwa nae kwi kwi kwi kwi kwi kwi
cute datty JF-Expert Member Joined Jul 11, 2014 Posts 582 Reaction score 277 Jul 19, 2014 #43 Teh teh teh! cargo naona umefunguka ya moyoni ila inaonekana kama bado hujamaliza hv funguka tu mkuu.
Teh teh teh! cargo naona umefunguka ya moyoni ila inaonekana kama bado hujamaliza hv funguka tu mkuu.