Baada ya miaka miwili ndani ya JF....

Baada ya miaka miwili ndani ya JF....

Mtu akijivunia kabila lake si tatizo si na wewe una kabila jivunie kabila lako, au ndo wale mnaona aibu kutaja makabila yenu eti mtu ukumuuliza anaanza kusema oooh mimi ni mchanganyiko baba wa kabila fulani na mama kabila fulani,nani kakuambia kabila hitwa kwa mama.wewe kama baba yako ni kabila la wajukuu wangu wa Dodoma sema tu wewe Mgogo.mimi ni Msukuma jembe tehethe najivunia kabila langu.wagogo hoyeeeee
 
Huu upumbafu utafanya watu wapungue humu..sasa ndo nini hichoo yaani mtu yupo kwake na simu yake anaandika vyake we inakuuma nn sasa.
 
na wewe jitahidi ujue alafu uje na majivuno..... ukiona hivyo take it as a challenge na wewe ufike mahali uwe kama hao..... miss chagga ni jina tu kama username nyingine....... marangu ni eneo ambalo lina milima mrefu na water falls nzuri tu usijali mkuu.....

nimekupenda bure kwa kuacha mambo ya msingi na kuangalia easy thing.... my advice endelea kutafuta hela kwa bidii zote ni njia moja wapo ya kuwa na majivuno hata kama hufanyi utaonekana hivyo kwa kuwa jamii itakuwa inakuogopa...... look foward ..
Cargo linaendana na wewe nice username
 
Ushauri wa bure.....ntaufanyia kazi
 
Mbona umemtaja mtu huku wakati umesema hauna nia ya ku-attack mtu??
miss chagga njoo pande hii kunakuhusu!!

Sija mu-attack...plz nolitolea mfano....sorry kama atakuwa amekwazika....tunajenga nchi tunataka wanaharakati wa kwel siyo wanaotamba wanaharakati wakati wanajificha...
 
Last edited by a moderator:
Sija mu-attack...plz nolitolea mfano....sorry kama atakuwa amekwazika....tunajenga nchi tunataka wanaharakati wa kwel siyo wanaotamba wanaharakati wakati wanajificha...

wewe aliyekwambia JF ni ya wanaharakati ni nani?

nishakwambia tena size yako whatsup na fesibuku, huku kwa umri wako wa kulishwa utajilaumu bure
 
Sina nia ya kum-attack member yeyote wa JF ila nimegundua makundi mawili hatari ndani ya jukwaa hili lenye nia njema......
1. Wajivuni..
→hawa hupenda sana kusifia maeneo wanayotoka...utasikia kwetu marangu, mm mchaga bhana....hata ID zao hutaziona e.g misschaga.....
→mara nyingi wanapo comment kwa kutumia simu utaona signature zao eg sent from my i-phone smart phone....
→ Pia hupenda kujionyesha wanaijua sana dar kuliko wengine....

2. Waongo na wanafiki.....
Hawa ndo hatari zaidi kwa ustawi wa taifa langu pendwa Tanzania...hupenda sana kujiita wanaharakati wakati hata ID zao siyo verified..mwanaharakati ni yule anajiweka wazi na watu kumtambua.
Hivi unawezaje kumuua nyoka kwa kutumia fimbo ndefu? Nchi haitajengwa na waongo/wanafiki...kama kweli nyie ni wanaharakati toeni hayo matusi kwa viongozi kwa kutumia verified ID.....

Narudia tena sina nia ya kum-attack mtu....
Mimi na Tanzania taifa langu pendwa....
Mungu ibariki Tanzania

Wajivuni umesema wapo wengi mkuu ungetoa mfano kwa kutaja watatu wanne hapo ningepata logic ila we umebakia kukomaa na wachaga,

Inaonesha bado hujafunguka vizuri utoe ya moyoni mkuu umedeal na miss chaga.

Be free mkuu amekunyima nini huyu dada??????!!!!
 
Last edited by a moderator:
wewe aliyekwambia JF ni ya wanaharakati ni nani?

nishakwambia tena size yako whatsup na fesibuku, huku kwa umri wako wa kulishwa utajilaumu bure

huyu wa fb akabandike mipicha yake na kusubiria like zake huko....jf haiwezi...
 
Mi mgeni jamani napita tu, sijui hata jua linatokea pande zipi asubuhi huku mweee.
 
huyu mtoa mada ndio wale wakiwa darasani wanaangalia makalio ya walimu wanapoandika ubaoni.....mwisho wa siku anaondoka na ziro

tehe tehe tehe tehe.....................
 
Back
Top Bottom