Weka picha yao iliyo current , washakuwa wababu na wabibi
Nilisikia hizi habari mahali nikafurahi sana kusikia kama bado wanafikiria muziki.
Hawa nilikuwa nawafananisha sana na wale Boney M.
Ni bahati mbaya sana sidhani kama kizazi hiki wanaweza kujua utamu wa muziki halisi uliokuwa unafanywa na haya makundi.
Ila kwa Boney M wao walishapoteza member mmoja, yule wa kiume....hata wakirudi tutakosa zile flavour zao.
View attachment 779989
Hivyo ndivyo walivyo na muonekano hadi 2016 walipo kutana kwenye Tuzo za Mmama Mia.
Ingawa inasemekana waligoma kupiga picha ya pamoja.
Labda nao uwarudishe mpaka miaka ya 70's....ambapo hata hawakuwepo Dunia hii.Ngoja nisubiri ujio wao kama wanaweza kuipiku WCB
Ngoja nisubiri ujio wao kama wanaweza kuipiku WCB
Hivi kuna Joto la Baridi?Labda nao uwarudishe mpaka miaka ya 70's....ambapo hata hawakuwepo Dunia hii.
Alafu nilikuja kugundua baadae sana kuwa Boney M ni (waswahili) na ABBA ni Wazungu (swedish)....mwanzo nilijuaga makundi yote ni ya Wazungu.Kwa hawa wananikosha sana tena wapo wote, walikuwa na sauti flani hivi kama za kitototo
Hata baridi haina joto Mkuu.Hivi kuna Joto la Baridi?
Hata mama Mia, Chiquitita, Fernando.dah ilikuwa bonge la ngoma, ukisikiliza lazima usingizi ukupitie
nimeipenda hii taarifa mkuu...tunawasubiri kwa hamu kubwa!!!KWa wale vijana wenzangu wa zamani wanaweza kushangaa kidogo kama kweli kundi hili lililowahi kutamba sana miaka 35 iliyopita na vibao kibao kama vile Chiquitita, Money Money na nyingine kibao.
Habari ikufikie kuwa kundi hili lenye vichwa hatari kama vile Bjorn Ulvaeus, Benny Andersson, Agnetha Faltskog na Anni-Frid Lyngstad limeamua kuungana tena na kurudisha kiu kwa siye vijana wa zamani ambapo tayari limeingia studio na kutengeneza nyimbo mbili za kuanzia moja wapo ni I Still Have Faith In You.
Karibuni tena ABBA, tulizoea kusikia nyimbo zenu sikukuu za Krismasi tu!
ABBA return after 35 years with two new songs
Hivi kuna mbao za mawe?Hivi kuna Joto la Baridi?
Zipo tena zinatumika kwenye kutengeneza SamaniHivi kuna mbao za mawe?