Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,861
Reaction score
2,881
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae ,

Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na kuendelea kupandikiza chuki, maana wakanisani ndio hao hao wa siasani.

Kwa akili zenu zilivyo ndogo sana mnaamini mnapambana na TEC na mnapambana na KITIME lakini tafsiri iliyopo mtaani ni kwamba hili ni shambulio dhidi ya ukristo linalo fanywa na kundi la linalo jifanya kupitia mgongo wa utetezi kwa Rais kupitisha hoja zao za udini.

Hebu tumieni watu wenye akili na busara zaidi ili kuliweka taifa sawa kuliko kuendelea kutumia vilaza na idea zao za udini ,hii inaa
isha kuanzia juu kwenye serikali hadi chini wamejaa vilazawatupuu

Press za kuchochea udini ni nyingi sana na serikali inaangalia tuu utadhani ndio inawatuma au kwa udogo wa akili hawaoni hatari iliyopo mbele
 
Samia ameamua kupambana na Kanisa Katoliki kwa mbinu za kishamba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…