johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
Nilikuwa na appointment Ofisi Moja ya Serikali leo saa 3 asubuhi lakini muhusika kanitumia Ujumbe niende saa 8 kwa sababu leo anaswali Eid.
Nimeshangaa kwa sababu Mufti katangaza Eid ni kesho lakini nimeambiwa na wajuzi kwamba Mufti hutangaza Mwezi wa Bakwata ila mwezi wa dunia hutangazwa huko Macca.
Naishauri Serikali iweke Utaratibu katika Hili kutuepushia usumbufu, kwa mfano leo ingekuwa Mapumziko kwa sababu kuna kundi kubwa tu la Jami ya kiislam watapumzika itake isitake.
Ahsante.