Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Hata mi nilijua tu magamba wangempitisha ukawa wasingepata kitu mapema. Yule hata ka utafiti nilikofanya wengi walikua wana mwamini licha ya kuchafuliwa aisee
Bao la mkono mwisho bafuni.. Tanzania nzima wote lowasa😀😀
Yaan hapa kwetu ni furaha tupu na tupo kama watu 50 hiv tunapanga tuamke saa 9 tukawah namba ya BVR maana tuna usongo wa kumuondoa mkoloni mweusi.. Asante chadema, asante mbowe, asante ukawa, asante lowassa, safari ya matumaini season 2.. here we go
Yani watu wa kawaida sana wana mwamini hata aliyofanya. Nadhani uongozi ni kukubalika na akiongea kauli yake ni ya mamlaka kila mtu anatii kuwa kiongozi kasema.Ulikuwa ukijaribu kujichanganya na watu wa kawaida kabisa huko mtaani huwaelezi kitu kwa Lowassa..
Huu Mzee anapendwa bana..
Shughuli gani ucku huu,ama ndugu upo ulipo ni mchana?
Naona ujio wa Lowassa ukawa umekuchanganya.
daa siamini kama ni wewe.Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Hahahaa haya basi maombi yako yamekubaliwa.Tatizo langu mimi lilikuwa CCM sio Lowassa.. Angepitishwa kule upinzani tungeshindwa mapema sana
Hahahaa haya basi maombi yako yamekubaliwa.
Mzee wangu kaja UKAWA kuleta mabadiliko ya ukweli.
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
daa siamini kama ni wewe.
Acha woga wewe, tuna imani na Lowassa.Mmmh yangu macho
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Mimi ni mwana ukawa kitambo, ila kwa Lowassa ndio zaidi.
Namkubali sana huyu mzee wa ukweli.