Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,235
Habari zenu,
Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa ni malumbano ya hoja, nikitetea uamuzi wangu na kuzifutilia mbali tafsri potofu za kijamii dhidi ya wapenzi wanaozidiana umri, na kutetea haki ya kijana wa umri mdogo kuwa na mpenzi mtu mzima, na kwakweli, hatimae, nikaeleweka..
Sasa, rasmi, natangaza kwamba NATAFUTA MWANAMKE ANAYENIZIDI UMRI AWE MKE WANGU. Sitarajii maswali yale yale yaliyoulizwa kwenye uzi ule yajirudie hapa, itakuwa ni kutokustraabika na kujitoa akili kwa kiwango cha juu mno, nakaribisha maoni na changamoto mpya.
Wewe dada wa makamo, umri kuanzia miaka 31 hadi 40, kama uko hapa au utaambiwa, mimi ni kijana wa miaka 30, na ni ndoto yangu kuoa Mwanamke anayenizidi umri. Nakuomba usogee PM tuongee. Naahidi kukupenda na kukulinda, kwa moyo wangu wote, kwa afya au magonjwa...hadi kifo.
Asanteni.