Baada ya kuwajibu kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, sasa natanganza kuwa natafuta Mke mtu mzima

Mwanamke wa ndoa huwa hatangazwi kwenye mitandao ya kijamii, redio, Tv wala forum aina yeyote. Ni kumwomba Mungu utakutana naye popote, yaonekana wewe unataka kuchezea akina za wanawake
Huo utaratibu wa sehemu za kukutana ulizozitaja ni wa kwako na ukoo wenu na mchungaji wako. Huku kwenye ulimwengu huru hatujajifunga na desturi unazozielewa kwa upeo wako.
 
Utampata mkuu sawasawa na mapenzi yako.


Kuna koment ,imenifanya nimuone alokoment ni mpuuzi kama walivyo wapuuzi wengone...anasema.....*hii ni njia ya kulegeza vyuma**


Sijui nani kamwambia mwanamke akiwa above 31 basi anapesa ??? Ujinga wa wapi huu.


Utampata Mkuu, kuna wadada humu ,hawaonekani ila ni wazuri mno na wanaitaji ndoa.
 
Back
Top Bottom