Baada ya kuwajibu kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, sasa natanganza kuwa natafuta Mke mtu mzima

Uko vizuri ngoja nije PM. Miss Natafuta nataka kujilipua kwa huyu mtu nimependa urefu wake, na suti yake hasa miwani
473270.jpg
Thread yangu sio ya chitchat. plz
 
Kila binadam anaishi anavyotaka na sio watu wanavyotaka.
ukisikiliza ya watu utapata shida pambana na hali yako ule vya kwako.
nakuunga mkono mkuu kila kheri.
 
Kwaiyo na huu uzi unataka ufike page ya ngap? Empty set
Nimeshuhudia ukitumia hilo neno empty set mara nyingi unapotofautiana na wengine kimawazo.

Haujui kila kitu na tunatofautiana ili kutengeneza uwiano. Usijisahau sana hizo dharau zako za kike achana nazo. Naona kuna baadhi ya mashosti zako wanakupa sifa basi naona bichwa linajaa mpaka unajisahau na kuanza kuleta dharau kwa kila mtu.

Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine itakusaidia sana.
 
Hapa nilipo nakujibu nipo kazini, na alhamisi nachukua salary advance
....advance kwa ajili ya huyo sugar mamy au? ....dogo watamwagika wengi humu halafu wataikula yote hiyo advance...Nahisi Uzi ujao utakuwa unahusiana na majuto ya kuchoma Salare....
 
Utapata ila wengi wao wajane au walishazalishwa hivyo utegemee kupokea yote kwa pamoja .
 
Nimeshuhudia ukitumia hilo neno empty set mara nyingi unapotofautiana na wengine kimawazo.

Haujui kila kitu na tunatofautiana ili kutengeneza uwiano. Usijisahau sana hizo dharau zako za kike achana nazo. Naona kuna baadhi ya mashosti zako wanakupa sifa basi naona bichwa linajaa mpaka unajisahau na kuanza kuleta dharau kwa kila mtu.

Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine itakusaidia sana.
So true
 
Mwanamke wa ndoa huwa hatangazwi kwenye mitandao ya kijamii, redio, Tv wala forum aina yeyote. Ni kumwomba Mungu utakutana naye popote, yaonekana wewe unataka kuchezea akina za wanawake
 
Back
Top Bottom