Uchovu wa kushangiliaBaada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
Zile 200ml walizoaidiwa hawakupewa wachezaji,,uongozi wameziminya wamelipia deni vyumba vya kupanga wachezaji pamoja na deni la kwa mama lishe,,,Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
Gate collection: TZS 165 M; Ahadi ya zawadi 200 M. Ama kweli kumbe za kuambiwa changanya na za kwako!Zile 200ml walizoaidiwa hawakupewa wachezaji,,uongozi wameziminya wamelipia deni vyumba vya kupanga wachezaji pamoja na deni la kwa mama lishe,,,
hii taarifa ni ya uhakika 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
165 M sio pesa,Kwani mshindo msola alisema yanga inadaiwa milioni mia ngapi ?Gate collection: TZS 165 M; Ahadi ya zawadi 200 M. Ama kweli kumbe za kuambiwa changanya na za kwako!
Hakucheza alibaki jangwani anapanda mpungaa!!!
Hivi wale wataalamu wetu kutoka gas city hawakuja na baiskeli?Kutumia nguvu nyingi au baada ya waganga kurudi kwao
Zile 200ml walizoaidiwa hawakupewa wachezaji,,uongozi wameziminya wamelipia deni vyumba vya kupanga wachezaji pamoja na deni la kwa mama lishe,,,
hii taarifa ni ya uhakika 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili mchukue ubingwa#tushindeiliiweje
Walipigwa hizi bakora?ila kwa kweli wachezaji, viongozi na benchi zima la ufundi la yanga ni wapuuzi kweli kweli na wanastahili kupigwa bakora 100 kila mmoja