Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata kupoteza kichwa changu maana hawa jamaa wakijua unamahusiano na Dada zao huwa wanakuwa na wivu kiasi waweza hata kukudhuru.
Sasa nategemea kurudi Tanzania kesho najiuliza nitaanzaje maana naona kama nimesahau vile ? Je nifanye nini ili niweze kwenda sambamba na uchakachuaji siku hiyo? hakika najiuliza maswali mengi nakosa jibu kama mnakumbuka nilishauliza kuna madhara yoyote
yale naweza kupata kama sito fanya mapenzi zaidi ya mwaka?
Naomba ushauri wako mwana JF najua unaweza kunishauri vizuri ili nisije jikuta nipo matatizoni naweza kukurupuka nikajikuta naumbuka au hata kupata magonjwa kwa usongo nilionao.
Nawasilisha kwenu
Habari ya Mumbai banyaa? Veve natongosa nanyimwa? Kuja Tz vevee!!
Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata kupoteza kichwa changu maana hawa jamaa wakijua unamahusiano na Dada zao huwa wanakuwa na wivu kiasi waweza hata kukudhuru.
Sasa nategemea kurudi Tanzania kesho najiuliza nitaanzaje maana naona kama nimesahau vile ? Je nifanye nini ili niweze kwenda sambamba na uchakachuaji siku hiyo? hakika najiuliza maswali mengi nakosa jibu kama mnakumbuka nilishauliza kuna madhara yoyote yale naweza kupata kama sito fanya mapenzi zaidi ya mwaka?
Naomba ushauri wako mwana JF najua unaweza kunishauri vizuri ili nisije jikuta nipo matatizoni naweza kukurupuka nikajikuta naumbuka au hata kupata magonjwa kwa usongo nilionao.
Nawasilisha kwenu
acha uzushi wewe!
Kwa hiyo unaturingishia kuwa ulikuwa ng'ambo. Ulikuwa india sehemu gani mkuu. Nakumbuka sana thread zako, mara sija do muda mrefu, mara nikirudi tz nisome magazeti gani, leo umeibuka na hii ya kutokuchakachua. Mh
mmnh JF kwa mashushu...sometimes?.....zipu njoo uexperiment na kujifunzia kwangu mwaya.:coffee: