monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Wadau habari poleni na majukumu,
Hivi kwanini ukishatangaza tu ndoa na ikafahamika basi wale wote waliokuwa wananata na kukuringia wanaanza kujilengesha kwako?hadi inakuwa usumbufu?mara umeshatoa mahari,mara harusi yako lini?Mara mkeo wa wapi?
Mara sema kweli are u getting married?Wengine naomba nimjue wifi yangu nk.
Kwanini inakuwa hivi? Tujadili.