Baada ya kutangaza ndoa napata usumbufu sana

Baada ya kutangaza ndoa napata usumbufu sana

mmmh wewe umetulia?
Kutulia ni Subjective...
Sasa kama mtu umetulia si ndo wanaanza kukusumbua? kama hujatulia wangeweza kupotezea bt hawataki kupotezea,wanahisi Aibu yao kuwa jamaa awe kama wao,au labda walitaka wao ndo waanze kupata,wakati ni matokeo tu,Vitu hivi hutokea automatic unajikuta imetimia na hapo ndo tunasema mpango wa Mungu.kwa wale wenye Imani na wanao picturizre ktk maono.
Inahitaji Meditation zaidi kujua kwanini inatokea hiii kitu. na nini mtu unajifunza....
 
si uwaonyeshe tu wifi yao kwani kuna tatizo?
Tatizo laweza kuwepo kwasababu hawatapenda wakubali kuwa uliempata ni mzuri,tafsiri yake wao hawafai,Tafsiri sahii kwangu ni hawakuwa wananifaa mimi kama mimi,watawafaa wengine hata kama ni warembo,wanaweza kuanza kumuonyesha na wao walianza,halafu yeye akafuatia....ili kumuumiza tu,aumie kama wao wanavyoumia kama wanaumia lakini.unaweza kuwaonyesha wao wakishampata pia wa kuwaoa,ili kusiwe na malipizi,
Ukiweza kuukimbia uovu ukimbie kabisa,hata bible imesema,Herode alikuwa anamtafuta Yesu wapi alipo,ingawa alikuwa ni mwana wa Mungu bt alikimbizwa Misri ili asidhurike.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom