m mmmmh mbona kama huli hulali hujapelekwa ICU,MBONA SIJAONA BANGO JF UMEZIDIWA LOH
Wewe si unataka kwanza wadogo zako waolewe kwanza ndiyo ufuate, utasubiri sana. Yaani na ujanja woote wa Kino umeshindwa dogo kabisa hilo. Kweli penye miti hapana wajenzi
Nashindia maji ya kisima. Mwili dhoofu hali, akili imegota kama saa iliyoishiwa betri. Nafuu nayoipata ni picha yako ya avatar niliyohifadhi kwenye mchago wa kitanda changu.
ndo verse zako hizo kwA Watoto wa kitaani kwenu eeh endelea kudhoofu tu
Wadau habari poleni na majukumu,
Hivi kwanini ukishatangaza tu ndoa na ikafahamika basi wale wote waliokuwa wananata na kukuringia wanaanza kujilengesha kwako?hadi inakuwa usumbufu?mara umeshatoa mahari,mara harusi yako lini?Mara mkeo wa wapi?
Mara sema kweli are u getting married?Wengine naomba nimjue wifi yangu nk.
Kwanini inakuwa hivi? Tujadili.
Hao huenda wanataka kukuvurugia mipango yako ya ndoa. Walikuwa wapi siku zote? Au sasa ndo wamekuona unafaa baada ya kugundua kuwa umempata mtu anayekupenda? Kaa chonjo!