Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

Mmmh milion 80 mbona kama bado hvi kwa biashara serious mkuu..

Naomba fanya hv tafuta tafuta upate hata milion 100 hv ndo uje tukupe ushauri

Evelyn Salt
Wakati anatafuta hiyo 100 atakuwa anaendelea kuitumia hii.80 atakujashtuka imebaki 50 au 30 kama ni biashara au mardi aanze now kukaaa na hela nyingi kama hii atajikuta anaifanyia matumizi ya siyo na lazima
 
Ziweke kwanza Fixed Account bank ya TCB wanatoa hadi 12% annually. Hapo kila mwezi utakuwa unapata karibu laki 8 wakati ukifikiria biashara ya kufanya.
NB. KWA KUWA SASA UNA MDA WA KUTOSHA JARIBU BIASHARA YA KUNENEPESHA NGOMBE KISHA KUWAUZA BAADA YA MDA FULANI INALIPA SANA NA HAINA CHANGAMOTO NYINGI
ONYO 1. USIJARIBU KILIMO
ONYO 2. USIJARIBU BIASHARA YA MAGARI YA ABIRIA.
Kila la kheri.
 
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Hongera Bro, nami nakufuata miaka machache ijayo. Ungesema uko mkoa gani ingawa jina linajionesha wewe ni wa Usukumani, sasa uko wapi ili watu wakushauri vizuri based on local context!
 
Back
Top Bottom