Baada ya kung'oa viti, wachezaji wavunja vioo

Baada ya kung'oa viti, wachezaji wavunja vioo

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Ni ile ile timu ambayo mwenyekiti wao aliwaita mambumbumbu mashabiki.

Jana baada ya kupakatwa,wachezaji wakaangalia jukwaani wakaona hamna kiti kilichovunjwa

Wakasema haiwezekani, Ngoja tuharibu hata kioo tu.

Messi akaenda mlangoni na kukivunja!!
 
Watakuwa na laojambo sio bure
 
Wanahitaji kuombewa kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi. Kuna siku watatukomesha kwa kuondoka na milingoti ya magoli
 
Kwani hawajakamilisha uwanja wao ili wapigwe ban taifa?
 
Kadri simba inavyozidi kuexist ndo uwanja wetu wa Taifa unazidi kuwa shakani.
 
bora walipovunja vioo vyao wenyewe hapo hakuna wa kumdai.
 
Ndugu yangu ni wakuombewa
Hawa hata wakiombewa hawaelewi tuu
 
Wanajenga uwanja kwa mapanga, shoka na mundu unategemea nini, mkandarasi wao anaitwa Ezekieli Kamwaga msanifu wa uwanja BI Hindu.
 
ufike muda TFF wawazuie simba kutumia uwanja wa taifa, wahamie mabatini pwani maana Azam hawawezi kuwapokea waharibifu hawa
 
Ni ile ile timu ambayo mwenyekiti wao aliwaita mambumbumbu mashabiki.

Jana baada ya kupakatwa,wachezaji wakaangalia jukwaani wakaona hamna kiti kilichovunjwa

Wakasema haiwezekani, Ngoja tuharibu hata kioo tu.

Messi akaenda mlangoni na kukivunja!!

Katavi jamaa yangu njoo huku kujibu tuhuma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom