Inabidi kila baada ya mechi wachezaji wa mikia wakaguliwe inawezekana wakawa wanang'oa zile nyasi za bandia na kuzificha kwenye soksi,ili wakapandikize shambani kwao.
Hii timu imejaa wahunh wahuni mmemalza viti hapo uwanjani mkahamia kukojolea kwenye masinki ya kunawia umeona yameziba sasa ivi mmeanza kuvunja vioo!!! Mtasubiri sana kuupata ubingwa timu iliyojaa wahuni kamwe haiwezi kupata tittle. Jifunzeni ustaarab kutoka chama la ukwel jangwani!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.