Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,556
- 4,169
Ndugu zangu wapendwa habari za muda mrefu tena.
Naomba kuambatanisha uzi
www.jamiiforums.com
Ninajitahidi kuzoea hali ya kutokuwa na mama ila bado siamin kama ndo mazima. Inauma lkn hakuna namna.
Mama tulimzika na matanga tayri.
Kuna kauli nilizokutana nazo kwa kipindi hiki nazikumbuka sana naomba niweke hapa.
Dada mmoja ambaye yeye ni Yatima na amekuwa vizuri mikononi mwa ndugu wengine na sasa yupo JWTZ alinipigia simu na kuniambia: SHUKURU WEWE MZAZI AMEKUKUZA HADI HAPO ILA WENGINE WANAPOTEZA WAZAZI MAPEMA ZAIDI.
hii kauli iliniingia kichwani. Binamu yangu mmoja aliniambia.
Nimekuja msibani sio kwa ajili ya baba yenu(kwake ni mjomba) wala ninyi (sisi sasa) ila ni sababu za mama yenu (marehemu) the way alivyoishi na sisi....ana heshima kubwa. Kuna vitu alitengeneza ambavyo vina msaada mkubwa kwetu na sisi tuendeleze.
Pia SWALA MSIBA LISAHAU MAPEMA MAANA KUNA MAISHA BAADA YA MSIBA. Wa tatu ni broo mmoja ambye hata simjui.
Mama yako yupo sehemu salama zaidi ya hapa duniani hakuna haja ya kusikitika.
Hizi ni chache zinazo run kichwani muda wote ila ni nyingi sana ninazo kumbuka .
Nathamini kila mchango wa mwana JF kwan nimepitia kila comment na zimenifariji sana sana.
Naomba kuambatanisha uzi
Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?
Misiba mingi inaonekana inatokea ila hatukubaliani nayo. Babu aliugua hadi nikatamani apumzike tu alikuwa 83. Ila hawa wanao fariki 50s ni changamoto yan.