Ameamua kujisafisha baada ya kukituhumu chama hadharani.
mkuu!c lazima babu au aliye kijijin anufaike kwa kuitumia moja kwa 1,ila ww wa mjini ukinufaika na yeye kwa namna 1 au nyngne atanufaika.Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Bora Mbowe alijipendekeza kwa Lowasa, heshima ya Chadema imeongezekaHata ungekuwa unaheshimika kiasi gani,ukianza kujinyenyekeza kwa watawala
Fikra finyu!Bora Mbowe alijipendekeza kwa Lowasa, heshima ya Chadema imeongezeka
Acha ujinga weweHivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Ujinga ni kutojua unataka nn nyie watu wa CDM hamna akiliAkili za lumumba bana...haya nenda ka edit kichwa cha thread isomeke nimeshindwa kimkatia babu yangu bima
Kwani barabara inakufaidisha nn wewe m2 ulie kijijini huna galiJibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?
Nyie vichaa kweliJibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?
Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Badilisha wewe ili imnufaishe babu yako huko nanjilinji !Akili za lumumba bana...haya nenda ka edit kichwa cha thread isomeke nimeshindwa kimkatia babu yangu bima
Kubadilisha gia ya ndege angani !Fikra finyu!
Hiyo ni shida yako, tukikusaidia hiyo then utakuja na shida nyingine usaidiwe mkeo kufikishwa kileleni !kwani wenye bima ya afya wanasafiri buree?nijibu maana mzee wangu anabima na yupo chunya,nitmsafirisha mpaka SIA then mje mumchukue na bombadier mpaka Muhimbili!
maana mzee ametngwa!
nipm namba zako,inaonekana wewe ni mwenyeji zaidi nchi hii!!!
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
ni kazi yako wwe kumnufaishaHivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Kibiashara ni kosa kubwa!Kwa nini anatumia alama/nembo za biashara za kampuni nyingine kuitangaza air tz. Sio kosa la kibiashara hilo?
Hata ungekuwa unaheshimika kiasi gani,ukianza kujinyenyekeza kwa watawala tu-Hadhi yako inashushwa hadi wadogo zako "akina Nape,Makonda" watakupa amri na utatekeleza kwa unyenyekevu kana kwamba wewe ndio "dogo" kwao!
Heshima niliyokuwa nayo kwa Erick niliishusha baada tu ya kuusoma waraka wake wa pili ulioelezea jinsi alivyomalizana na wadaiwa wake...
Erick ni mnafki sana!
Kibiashara ni kosa kubwa!