Baada ya kukutana naye kimwili amebadilika sana

right bt haiepushi kuchepuka bt labda inapunguza tu.
 
WANAWAKE WA ARUSHA NA MOSHI, UKITAKA UPENDWE NAO UJUE KUWACHAKATA HASWA...

HAWA WANAWAKE WANAPENDA KUGEGEDWA KAMA MBWA...

USIPOWAKUNA HAWA IPASAVYO WATAKUACHA KWA UDHALILI...
 
Unaisi amekupa maambukizi ama! vp ulikula pipi bila maganda au! Nenda kapime usijipe stress mkuu
 
WANAWAKE WA ARUSHA NA MOSHI, UKITAKA UPENDWE NAO UJUE KUWACHAKATA HASWA...

HAWA WANAWAKE WANAPENDA KUGEGEDWA KAMA MBWA...

USIPOWAKUNA HAWA IPASAVYO WATAKUACHA KWA UDHALILI...
Sidhani kama uko sahihi.
Wanawake wa kaskazini hawana unyago wala ngoma.
Hawa ni aina ya wanawake amabao hawana mila au mrengo flani katika mahusiano.
Nijuavyo mimi ni kuwa wanawake wa kaskazini hasa wachaga na wameru wapatapo mtu sahihi wengi wao huridhika sana, tofauti na makabila mengine
 
1. Wanawake wa kizungu wana msemo huu kwa wanawake wenzao, "Once you go black you won't come back"!
2. Wanawake wa kiswahili wao wanasemo, "Ukitembea na Masai huwezi kumwacha"!
Sasa wewe ulikosea wapi? masai1997
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…