Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.

2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini.

Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.

3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.

Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Wachapa Kazi za kitandani labda ila wangekuwa wachapakazi basi wangekuwa wafanyabiashara wakuu wa Tzn ,pia umaskini usingetamalaki huko kwao.
 
Roho zao nzuri zinasababisha wahamiaji haram kujifanya wasukuma.

Wanahifadhi wahamiaji haram wengi kanda ya ziwa

Mngemkana akiwa bado yupo yamkini tungeweza kuwaelewa labda, lakini hivi akiwa hayupo inakuwa vigumu kuwaelewa!

Yani ilishaingia kwenye hansad kwamba kumbe ndivyo mlivyo

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu!
 
Usipoyanywa utayaoga
 
huyo aliyesema wako milioni 32 ndio anatakiwa atuwekee data hapa na source yake.
Maana kwa hesabu ya haraka haraka tu Dar es salaam ndio mkoa wenye population kubwa ya watu ambayo ni milioni 6,mikoa mingine iliyobaki inacheza milioni 3 au 4,sasa how comes mikoa minne itimize idadi ya milioni 32 ni hesabu ndogo ambayo haihitaji uwe msomi
 
Vipi kuhusu urafiki wao nanyama fisi!?? Umesema hawana tamaa ya fedha mbona nasikua mazeruzeru hawana amani kabisa!? Ukimpa ngisha 250000/ anaua albino au wazee wenye macho mekundu!??
Hebu gusia hilo kidogi
 
Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.

2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Geita na Tabora. Maeneo yote haya watu wanazungumza lugha ya kisukuma iwe mjini au vijijini.

Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.

3. Kanda ya ziwa ni wachapa kazi sana lakini hawana tamaa ya pesa kabisa ukilinganisha na kanda ya Kaskazini na siyo wanafiki kabisa.

Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
mi napenda matotoz ya kisukuma yana nizam sana, unapewa maji ya kunywa unapigiwa goti lah!!! safi sana

Wanawake wa kisukuma sio vibaka kama walivo wanawake wa makabila mengine. Ila sasa msivimbe vichwa, maana sio wanawake wote wa kisukuma wenye tabia za kisukuma,

wengine wasukuma bandia wa mijini hakuna kitu hamjui maadili ya kisukuma, ovyooooo sana!!!!
 
Umenena vyema, pia kina ngosha ni husband material haswaa.
Karne ya 21! Hii inasaidia nini?
Vipi mchango wao kwenye pato la Taifa?Nenda Arusha uone watu wanavyofsnya shughuri za kiuchumi.
Richa ya kuwa na madini Mengi,Kanda ya ziwa imejaa ujinga,na umaskini.
Unaweza ukaamini njia ya kwenda mgodini Kakola,kutokea Kahama,kuanzia njiapanda ya manzese,ni vumbi tupu.
Kahama Kuna mgodi wa buzwagi,nilitegemea Kahama iwe kama Arusha,lakini wapi!kumejaa magesti tu ya bei rahisi.
Kuanzia Tinde,kagongwa,isaka,ushirombo,mpaka nyakanazi,ardhi yote imejaa madini,wapo matajiri wachache,lakini watu wengi ni mafukara wakutupwa.
Wingi sio hoja,wanaoshika nchi hii ni wenye pesa wachache,maana wapiga kura wa nchi hii wanohongeka kwa kanga na vilemba ni wajinga na ndio wamejaa Kanda ya ziwa.
Nzega,Igunga,Kalumwa,Isakamaliwa Kuna nini zaidi ya ufukara mtupu,
 
Back
Top Bottom