DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,683
- 17,947
Hii Pressure iko sawa kbisa kwa Mtu aliyetoka kwenye PIHPia pia Leo nimempima presha ipo 133/90 PR 100
Hii Pressure iko sawa kbisa kwa Mtu aliyetoka kwenye PIHPia pia Leo nimempima presha ipo 133/90 PR 100
Sasa mkazanie kwenye Kumpa dawa za kuongeza Dame (Haematinics), Pia ukiweza Jitahidi kumpa matunda ya kutosha hasa jamii ya Citrus na hasa ukipata Lozena unaweza kutukia kama juice akawa anakunywaLeo kaamka kichwa kinaumaa anaskia baridii kwenda hospital kaambiwa damu ipo ndgo
Duh hii ni nomaHabar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo ...akapewa dawa za presha awe anatumia mpaka atakapo kaa sawa ,bahat mbaya akameza siku akaacha akazirudia
Sasa hivi mapigo yake ya moyo yamekua juu zaid ya kiwango kinachotakiwa Cha 100 ...najana usiku kichwa kimemuuma Sanaa mpaka kuona giza giza
Nin ushauri wenu je mjamzito akishajifungua presha haiwezi shuka tena na vip haya mapigo ya moyo
Mkuu nje ya mad kidogoHapo kuna mambo ya kuzingatia Inavyo onekana Huyo Mke wake Kipindi cha Mimba na Kujifungua alikuwa na Tatizo linaitwa PIH (Pregnancy Induced Hypertension) na most Probably PreEclampsia..
Swali la kujiuliza Tangu ajifungue ana wiki ngapi?
Maana Probably Inatakiwa mpaka Wiki ya 6 Tatizo hilo linatakiwa lianze kupungua au kuisha kabisa..
Ukiona bado tatizo hilo lipo au Linazidi jitahidi uende Hospitali kufanyiwa Uchunguzi na matibabu..
Japo kama imezidi wiki 6 bhasi kuna chances itakuwa imedevelop Secondary Hypertension
Imeanza kutungwa Vipi?😅Mkuu nje ya mad kidogo
Mimba iliyoanza kutungwa Kati ya trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?