Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo ...akapewa dawa za presha awe anatumia mpaka atakapo kaa sawa ,bahat mbaya akameza siku akaacha akazirudia
Sasa hivi mapigo yake ya moyo yamekua juu zaid ya kiwango kinachotakiwa Cha 100 ...najana usiku kichwa kimemuuma Sanaa mpaka kuona giza giza
Nin ushauri wenu je mjamzito akishajifungua presha haiwezi shuka tena na vip haya mapigo ya moyo
 
Kawida presha humpata mjanzito kabla au baada ya kujifungua,na hii husababisha pre eclampsia,hivyo walipompa dawa alitakiwa kumeza mpaka siku 40,au hadi pale daktari atakapo ridhia presha imekaa sawa,huku kutokufata mashart ni kubaya atapotea ukimuangali,na presha mbaya ni ile baada ya kujifungua,rudi hospital kwa ushauri zaid haraka sana,mimi ni muhanga wa presha ya ujauzito ,
 
Uliitibu vip presha ya ujauzito
 
Uliitibu vip presha ya ujauzito
Nilitumia dawa za presha na aspirin junior,tangu wiki ya 12,na nilipofikisha wiki 30nilichomwa sindano za dexamethasone,sikupona ilazilinisaidia kusogeza siku mpaka wiki 37mtoto akatolewa,nikaendelea na dawa hadi 49dayys,prsha ikawa stable nikaacha,case hii inahitaji a serious gynecologist otherwise umapotza mama au mtoto
 
Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo ...akapewa dawa za presha awe anatumia mpaka atakapo kaa sawa ,bahat mbaya akameza siku akaacha akazirudia
Sasa hivi mapigo yake ya moyo yamekua juu zaid ya kiwango kinachotakiwa Cha 100 ...najana usiku kichwa kimemuuma Sanaa mpaka kuona giza giza
Nin ushauri wenu je mjamzito akishajifungua presha haiwezi shuka tena na vip haya mapigo ya moyo

Xianhe :
Katika kila mfumo wa binadamu kuna kitu kinaitwa nishati ( Energy in balance level )

Ili moyo ufanye Kazi sawa sawa kwa usahihi unahitaji nishati kwenye uwiano sahihi , hizi nishati ndizo Husababisha Mifumo iweze fanya kazi ,na lazima Ziwe kwenye uwiano sahihi kuleta afya njema .

Katika Natural knowledge hizi nishati tunaziita WATER PROPERTY ENERGY & FIRE PROPERTY ENERGY

Katika mfumo wa Moyo nishati Moto ndiyo husababisha mfumo Moyo ufanye Kazi lakini Nishati asili Maji ndio inafanya nishati moto iwe kwenye kiwango kinachotakiwa kuwezesha mapigo ya moyo kuwa kawaida

Sasa basi Nishati asili maji / Water property Energy inaposhuka au kupungua kwenye mfumo wa Moyo , itasababisha Nishati asili Moto kupanda / kuwa juu / Fire energy excessive kuzalisha sumu au tatizo la moyo kupiga kwa Kasi zaidi ( Palpitations) na kuleta madhara

Kutibu tatizo Kama hilo katika Nature
1. Clear Fire toxin in the heart &
Small intestine system/ safisha hiyo sumu asili Moto iliyozidi ili mapigo ya moyo yarudi sawa

2. Balance Heart & Small intestine system energy by replenishing water property energy
Hii itawezesha mfumo wa Moyo kuwa na afya ya kutosha na kuondosha hiyo hali moja kwa moja

3. Improve blood circulation / hakikisha mzunguko wa damu upo sawa kwa kuvunja kila mikwamo kwenye mishipa ya damu ,
Kanuni hii itawezesha virutubisho pamoja na Oxygen kufikia mifumo na kuponya tatizo moja kwa moja na atakuwa mzima wa afya na hawezi tumia dawa kabisa tena !

Kwa kila tatizo la kiafya wasiliana nasi , hakuna lisilowezekana kwenye Nature !

Cont: +255757577995
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
Nilitumia dawa za presha na aspirin junior,tangu wiki ya 12,na nilipofikisha wiki 30nilichomwa sindano za dexamethasone,sikupona ilazilinisaidia kusogeza siku mpaka wiki 37mtoto akatolewa,nikaendelea na dawa hadi 49dayys,prsha ikawa stable nikaacha,case hii inahitaji a serious gynecologist otherwise umapotza mama au mtoto
Umetoa maelezo ya kutosha
Vzur sana
 
Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo ...akapewa dawa za presha awe anatumia mpaka atakapo kaa sawa ,bahat mbaya akameza siku akaacha akazirudia
Sasa hivi mapigo yake ya moyo yamekua juu zaid ya kiwango kinachotakiwa Cha 100 ...najana usiku kichwa kimemuuma Sanaa mpaka kuona giza giza
Nin ushauri wenu je mjamzito akishajifungua presha haiwezi shuka tena na vip haya mapigo ya moyo
DR Mambo Jambo
 
Mtafutie madini ya calcium yanaitwa Oestocare. Pia mpe jiusi ya chungwa au vidonge vya vitamin C.
 
Hapo kuna mambo ya kuzingatia Inavyo onekana Huyo Mke wake Kipindi cha Mimba na Kujifungua alikuwa na Tatizo linaitwa PIH (Pregnancy Induced Hypertension) na most Probably PreEclampsia..

Swali la kujiuliza Tangu ajifungue ana wiki ngapi?

Maana Probably Inatakiwa mpaka Wiki ya 6 Tatizo hilo linatakiwa lianze kupungua au kuisha kabisa..
Ukiona bado tatizo hilo lipo au Linazidi jitahidi uende Hospitali kufanyiwa Uchunguzi na matibabu..

Japo kama imezidi wiki 6 bhasi kuna chances itakuwa imedevelop Secondary Hypertension
 
Mpaka sasa Leo nisiku ya 23 tangu ajifungue
 
Leo kaamka kichwa kinaumaa anaskia baridii kwenda hospital kaambiwa damu ipo ndgo
 
Back
Top Bottom