Baada ya kuhitimu chuo uliendeshaje maisha?

Hakuna kitu ambacho sikielewi kama unakuta mtu amekaa chuoni miaka 3 au zaidi kapata hicho alichopata let's say ni u-injinia au udaktari au ualimu halafu anakuja mtaani anauza supu au nguo,
Sisemi kua ni vibaya kufanya hivyo ila kinachonishangaza ni kwamba sasa kama dream ilikua ni hiyo kwanini kuhangaika kwenda kusomea kitu ambacho hakina relation na ulichosomea? Haumuoni huko ni kupoteza muda? Mana kama vision ilikua kuja kufanya biashara baada ya kuhitimu sasa si ungesoma business related courses basi (ambazo zingekusaidia unachokuja kutaka kufanya hapo baadae baada ya masomo)

Mi nachokiona wengi wetu tunaenda vyuoni tukiwa hatujui tumeenda kufanya nini. I mean mtu anafanya maamuzi ya kusomea kozi fulani ili hali hajui ataenda kuifanyia nini mtaani!.
Sio hivyo mkuu..unajua hiyo ya kufanya ishu nyingine ambazo hazirelate na mambo mtu aliyosomea inatokana na ajira kukosekana..sasa mtu atakaa tu bila kupambana apate kula,hata kwa kufanya ishu ambazo hazirelate na mambo aliyosomea??

Na pia ni mara chache sana mtu aliyesomea udaktari akauza supu mtaani..sisemi kuwa haiwezekani,ila sidhani kama wapo..
 
Tukubali tukatae watanzania tulio wengi vyuoni tunasomea ajira, ndio mana tukiingia mtaani tukikosa tunachokitegemea (ajira) maisha tayari yanabadilika. Hatuna master plan of our own life yaani mtu hajui hiki nachokisomea nitakifanyia nini tofauti na ajira.
Mimi nataka kufungua mgahawa natafuta shule ya mapishi najifunza nimemaliza kusoma narudi kitaa natafuta mtaji nakamilisha ndoto yangu ya kufungua mgahawa. Wengi wetu procedure za kufikiria maisha baada ya chuo, hata kabla ya kuanza chuo hatuna.!
 
Mimi nataka kufungua mgahawa natafuta shule ya mapishi najifunza nimemaliza kusoma narudi kitaa natafuta mtaji nakamilisha ndoto yangu ya kusoma kufungua mgahawa wengi wetu procedure za kufikiria maisha baada ya chuo, kabla ya hata kwenda chuo hatuna.!
Nimekusoma..ila let say mtu ameenda kusoma udaktari,ufamasia,civil engineer,..wakimaliza wanawezaje kuenda kufanya vitu vyao wenyewe bila ya kuanza na ajira??
 
Nahc na mm huu uzi unanihusu sasa nimemalza chuo niko nyumban mtaji ni changamoto na nahtaj angalau nipate pa kujishikiza ili maisha yaendelee
Tafuta sehemu ujitolee hata bure ndugu yangu...!! Then kwaajili ya uzoefu utaweza tengeneza connection nyingi Sana'a!! Zitakupa uwezo mzuri na ujenzi mzuri wa mawazo yakinifu
 
Tukubali tukatae watanzania tulio wengi vyuoni tunasomea ajira, ndio mana tukiingia mtaani tukikosa tunachokitegemea (ajira) maisha tayari yanabadilika. Hatuna master plan of our own life yaani mtu hajui hiki nachokisomea nitakifanyia nini tofauti na ajira.
Mimi nataka kufungua mgahawa natafuta shule ya mapishi najifunza nimemaliza kusoma narudi kitaa natafuta mtaji nakamilisha ndoto yangu ya kufungua mgahawa. Wengi wetu procedure za kufikiria maisha baada ya chuo, hata kabla ya kuanza chuo hatuna.!
Umesomea nini chuo??
 
Back
Top Bottom