Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,058
Halmashauli na ustawi wa jamiiGood idea nimesomea community development je naeza jitolea katika taasisi zipi
Halmashauli na ustawi wa jamiiGood idea nimesomea community development je naeza jitolea katika taasisi zipi
Dah huko wanatudharau sana sisi volunteers nilifanya field na research ktk ofisi zao dah mazingira yalikua magumu sana mzeeHalmashauli na ustawi wa jamii
Ilikuwajw kuwajeDah huko wanatudharau sana sisi volunteers nilifanya field na research ktk ofisi zao dah mazingira yalikua magumu sana mzee
Nakosa mandish ya kuelezea hali ilivyo kuwa yaan wanakuona kama picha hakuna chochote unachoweza kushirikishwa zaid ya kutumwa vocha na mafaili yaan acha tu ofice za serikar hakuna kupata uzoefu zaid ya kupoteza mdaIlikuwajw kuwaje
Hilo nalitambua ila mungu si athumani utakuwa boss wao utawatuma wapike uji kwa kutumi kuniNakosa mandish ya kuelezea hali ilivyo kuwa yaan wanakuona kama picha hakuna chochote unachoweza kushirikishwa zaid ya kutumwa vocha na mafaili yaan acha tu ofice za serikar hakuna kupata uzoefu zaid ya kupoteza mda
Mtafutaji achoki,na kukata tamaa Ni dhambi we kapige mzigo Kaka angu.Dah huko wanatudharau sana sisi volunteers nilifanya field na research ktk ofisi zao dah mazingira yalikua magumu sana mzee
Daaaaaaaaaaaaah so sad,Pole Sana,ko unampango gani?Nakosa mandish ya kuelezea hali ilivyo kuwa yaan wanakuona kama picha hakuna chochote unachoweza kushirikishwa zaid ya kutumwa vocha na mafaili yaan acha tu ofice za serikar hakuna kupata uzoefu zaid ya kupoteza mda
Ili wezekanaje mkuu?Nilifungua garage ya pikipiki kwa mtaji wake smartphone yangu
Kweli mkuuMtafutaji achoki,na kukata tamaa Ni dhambi we kapige mzigo Kaka angu.
Hongera Sana mkuu, unaweza kushare nasi njia ulizo pita mkuu.Nashukuru sana kwa mawazo yenu nimejifunza mengi ,Mimi pia nimehitimu hapa Mzumbe mwaka huu ,nimebaki hapa hapa napigana nakumbuka nilikuwa nimebaki na 80 alfu tu lakini mpaka leo hiyo nimeizungusha nimelipia chumba na nakula humo humo na bando cha msing NETWORKING NA KUTOCHAGUA CHA KUFANYA NA KUTOONA AIBU FANYA KAMA VILE HATA A UTAWINI MTAA
Karibu Sana mkuu.1see imenivutia nitakuja na ya kwangu nilivyo maliza la saba na kibarua changu cha kwanza
We achaa tuuu,,,, ukwel mtupuHakuna kitu ambacho sikielewi kama unakuta mtu amekaa chuoni miaka 3 au zaidi kapata hicho alichopata let's say ni u-injinia au udaktari au ualimu halafu anakuja mtaani anauza supu au nguo,
Sisemi kua ni vibaya kufanya hivyo ila kinachonishangaza ni kwamba sasa kama dream ilikua ni hiyo kwanini kuhangaika kwenda kusomea kitu ambacho hakina relation na ulichosomea? Haumuoni huko ni kupoteza muda? Mana kama vision ilikua kuja kufanya biashara baada ya kuhitimu sasa si ungesoma business related courses basi (ambazo zingekusaidia unachokuja kutaka kufanya hapo baadae baada ya masomo)
Mi nachokiona wengi wetu tunaenda vyuoni tukiwa hatujui tumeenda kufanya nini. I mean mtu anafanya maamuzi ya kusomea kozi fulani ili hali hajui ataenda kuifanyia nini mtaani!.
Hiyo smartphone ilikua ya sh. Ngapi?Nilifungua garage ya pikipiki kwa mtaji wake smartphone yangu