Baada ya kuhamia Yanga SC na kuidhalilisha Simba SC, leo Haji Manara akishinda tuzo ya msemaji bora wa Simba SC ataikataa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC.

Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu na kutokana na alivyoinanga Simba SC ambayo ndiyo imesababisha aende Kushinda hiyo Tuzo kamwe hatoipokea kwani itamchoresha na hata kumuonyesha ni jinsi gani alivyo Juha (Mpumbavu).

TFF nao wamelifanya hili Makusudi ili Kumchoresha Haji Manara na ndiyo maana hata katika Tangazo la Wanaowania hiyo Tuzo ambao ni Watatu Masau Bwire na Bongo Zozo kwa Haji Manara wameandika Simba SC.

Unaweza kupokea Tuzo ya Usemaji / Uhamasishaji Bora wa Klabu uliyoitukana na uliyoikana wazi wazi Mitandaoni na katika Redio kuwa huipendi na hujawahi kuwa na Mapenzi nayo na kwamba hata ulipokuwa ukiipenda ulikuwa Umelewa?
 
Unamaanisha ikitokea Chama amepewa tuzo, hatakiwi kuichukua kwavile ameshaondoka Simba?

Binafsi sioni sababu ya Manara kuiacha hiyo tuzo endapo atapewa yeye.
Chama kaondoka kwa Ugomvi Simba SC na Kuikashifu Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari?

Kuna Watu kwa uwezo wenu mdogo wa Akili na Kuchanganua mambo huwa mnanilazimisha niwe nawajibu hovyo. Akiipokea atadharaulika mara Trillioni.
 
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC..
Kwanini asiipokee wakati kachangia zaidi ya 60% kuibrand Makolo FC.
 
we jamaa nawe acha kutuchosha kwani simba ndo wanaenda kumpa hiyo tuzo au ni TFF. wangekuwa wanamkabidhisha simba ndo ungesema hivyo. mbona akina chama pamoja na kuhama timu lkn wamejumuishwa kwenye hizi tuzo. hebu jitahidi kujiongeza mkuu kabla ya kuposti.
 
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC.

Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu na kutokana na alivyoinanga Simba SC ambayo ndiyo imesababisha aende Kushinda hiyo Tuzo kamwe hatoipokea kwani itamchoresha na hata kumuonyesha ni jinsi gani alivyo Juha (Mpumbavu).

TFF nao wamelifanya hili Makusudi ili Kumchoresha Haji Manara na ndiyo maana hata katika Tangazo la Wanaowania hiyo Tuzo ambao ni Watatu Masau Bwire na Bongo Zozo kwa Haji Manara wameandika Simba SC.

Unaweza kupokea Tuzo ya Usemaji / Uhamasishaji Bora wa Klabu uliyoitukana na uliyoikana wazi wazi Mitandaoni na katika Redio kuwa huipendi na hujawahi kuwa na Mapenzi nayo na kwamba hata ulipokuwa ukiipenda ulikuwa Umelewa?
Mkuu,kwani tuzo atakuwa amepewa kwa kakaa na kumalizana vizuri na simba au kufanya kazi yake vizuri akiwa simba?
 
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC.

Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu na kutokana na alivyoinanga Simba SC ambayo ndiyo imesababisha aende Kushinda hiyo Tuzo kamwe hatoipokea kwani itamchoresha na hata kumuonyesha ni jinsi gani alivyo Juha (Mpumbavu).

TFF nao wamelifanya hili Makusudi ili Kumchoresha Haji Manara na ndiyo maana hata katika Tangazo la Wanaowania hiyo Tuzo ambao ni Watatu Masau Bwire na Bongo Zozo kwa Haji Manara wameandika Simba SC.

Unaweza kupokea Tuzo ya Usemaji / Uhamasishaji Bora wa Klabu uliyoitukana na uliyoikana wazi wazi Mitandaoni na katika Redio kuwa huipendi na hujawahi kuwa na Mapenzi nayo na kwamba hata ulipokuwa ukiipenda ulikuwa Umelewa?
Unaipoteza heshima yako uliyobaki nayo kidogo.
Gentamycine wewe Kuna wakati nilihisi una akili za kuwatosha na wengine kumbe hata mwenyewe hazikutoshi. Kibaya zaidi hujijui kuwa hazikutoshi.

1. Kati ya manara na simba na muhamasishaji?
2. Simba ilimpa uwezo manara kuwa bora au manara amekuwa bora kwa uwezo wake?

Jitie akili kidogo kijana, manara ni sawa na miquison, au mchezaji yeyote,uwezo wake utamfanya awe bora

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom