Past has gone....
muda ambao nipo nae ndio najali
Masikio yamekuwa surprised na ubongo huwezi uvisha pazia
Nobody is perfect... Ukimchunguza Sana bata hutamla, mpende akupendaye kwa dhati na aliye tayari kuacha yaliyopita... Kuna mikondoo haijawahi kufanya mabaya yoyote lakini ni washenzi kupindukia roho mbaya, uchimvi, majungu, maharagwe ya mbaya, uongo wizi na ubaradhuli wa kila aina wanao ila hujificha kwenye Koti la dini ulokole na swala tano, hao ni wabaya kuliko aliyewahi kuwa changu au jambazi
Nawapenda,
Ni kawaida kufanya kautafiti juu ya mwenza unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Inapotosha kujiridhisha na kuanza uhusiano ni busara kuacha kuchimba mambo yake ya zamani
Ni jambo,hulka,tabia gani pale utakapoijua kwa bahati mbaya kuhusu past ya mwenzi wako itapelekea uhusiano kuvunjika?
Wengi husema kama hakujua au mwenzi alimficha kuwahi kuwa; changudoa,kuzaa,jambazi,utoaji mimba,kuwahi kuwa mke/mme,kuugua kichaa,ulevi n.k
Wewe je?
Bei Mbaya
Nobody is perfect... Ukimchunguza Sana bata hutamla, mpende akupendaye kwa dhati na aliye tayari kuacha yaliyopita... Kuna mikondoo haijawahi kufanya mabaya yoyote lakini ni washenzi kupindukia roho mbaya, uchimvi, majungu, maharagwe ya mbaya, uongo wizi na ubaradhuli wa kila aina wanao ila hujificha kwenye Koti la dini ulokole na swala tano, hao ni wabaya kuliko aliyewahi kuwa changu au jambazi
Mkuu mshana jr umeongelea jambo la msingi sana kuna mabinti wawili nimewahi kuwa nao yaani ukiwa nao kutwa ni kujisifia bikira zao na ulokole huku wakiwaponda madem wengine kwsbb wao walikuwa watu wa kanisani sana....ila baada ya muda flan nikaja kugundua wana roho mbaya haswa ni bora hata kuoa hao wanawake wasiojitangazia ulokole. Unafiki wa kupitia ulokole ni mbaya sana.
Unakijua kitu kinachoitwa"Upole wenye chuki na hasira"? Wengi wao wanacho sana. Unakuta mtu anajifanya mtulivu na mpole ila kauli zake zimejaa chuki na hasira dhidi ya wengine kwa vile tu anaamini hawana viwango kama vyake.
Upo sahihi kabisa mkuu,mimi nilishaamua kamwe sintaoa hawa wanafiki wanaojiita walokole