Jamaa anaona aibu kufanya tendo
Hahahahahaha 😂😂😂
Jamaa anaona aibu kufanya tendo
mwambie afumbe macho ili asione aibuJamaa anaona aibu kufanya tendo
Huyo Dogo hapaswi kuoa, huo utoto wake kwenye ndoa hautakiwiHabari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Au ATM Mashine ni mbovu 😜🙌🏼Aibu hizo vipi?Jamaa anaona aibu kufanya tendo
Muulize Magonjwa MtambukaHabari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Unatoaje muongozo kwa vitoto?Mwanaume, toeni muongozo kuliko kumdhihaki
Wenye vipaumbele watamtombeaSawa blo, kwahiyo aoe au? Maana anasema yeye tendo sio kipaumbele chake
Huyo mwanaume 100*% hajui sex..ataboa mno mnoSawa blo, kwahiyo aoe au? Maana anasema yeye tendo sio kipaumbele chake
Una uhakika Mimi ni Shangazi ?Sawa shangazi
Kitendo cha kwanza cha kugegedana. Bila hiyo kugegedana ndoa inaweza kuvunjwaHilo neno la kingereza ndio maana yake nini
Hujijui?Una uhakika Mimi ni Shangazi ?
Nimemwambia akakubali amesema atamwambia mke wake ndani ya hiyo wiki akake kwaoAkae wiki kwanza
Sawa, I think unatakiwa unipe nafasi ili niweze kuku prove wrong! Just one chanceHujijui?
Blo kwenye picha ni binadamu au jini?Ilitakiwa aombe bumunda alipolipa mahari tu kama ni mchumba ambae hawakuwahi kutana kabla.
Kwa dunia ya leo lazima utest mitambo kwanza. Unaweza jifanya mtiifu, baada ya ndoa unakuta kumbe umeoa dume mwenzio anaefanania mwanamke..
View attachment 3214963
Huyu ni wa kiume,. Just so you know.
Njoo geto mshangaziSawa, I think unatakiwa unipe nafasi ili niweze kuku prove wrong! Just one chance
Kiaje bloInabanduliwa tu
Mi nilivyotoka tu ukumbini kufika home tukakiamsha ndyo tukalala hyo haina kanuniHabari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA