Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
- Thread starter
- #21
Akili Hiyo Unayo SasaUnamjibu siioni, au unamfanyia suprise, unamwambia baby hv rangi ya pichu yako unaikumbuka, naomba unitajie![]()
Akili Hiyo Unayo SasaUnamjibu siioni, au unamfanyia suprise, unamwambia baby hv rangi ya pichu yako unaikumbuka, naomba unitajie![]()
Ndio, Kaka mi nishaponyoka matukio ya hatari kuliko Hilo, 2012 nilipata bonge la fumanizi, mmoja ndani mmoja nje, nikatumia akili kubwa nishindwe hapo kweli, ilishawahi kunitokezea dem mmoja aliacha pichu yake kwanguAkili Hiyo Unayo Sasa
Iyo Vita Naona Ilikuwa si Ya KitotoMi nishawai kumwita jina la rafiki yake katikati ya mechi niliekua nae jana yake...ilikua kirambasi siku hiyo,but ndio wife now