Baada ya kuacha kazi ITV/Redio One, Kitenge asaini mkataba E-FM Radio

EFM imekuja kwa kasi sana na inasikilizwa sana jijini Dar.

Naamini E inasimama for Edward, japo pia yaweza simama for Entertainment na ambao wanajulikana kuwa wamiliki wa Maisha Club, ambayo pia inasemekana ni moja ya miradi ya Edward!

Mikakati ya 2015 inaendelea kwa kasi...
 
He is revolving in the same quadrant..... Will never see the advancement of innovations..... Viscious Poverty Circle.......

Imenigusa hii yako. Lakini nazidi kujibidiisha ili iprove wrong hii phrase.
 
wandsh wa habar walala hoi sana,bora hata ya mpga debe msamvu anatoka na km na tano per dy.
 
Oh basi unaikumbuka classc fm?iko wapi sasa?basi mkuu tupe mmilik ili tufunge mjadala huu

mmimiliki halisi ni nani sasa?


Huyu mama hapo chini anaitwa Hellen Sweya ndio mmliki wa Entertainment Masters inayomiliki Maisha Club zote ,share za kutosha DTV na sasa E FM.Hapo akikagua jengo la maisha club ilipoungua.....






CC CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaah inseten kawajeee aaa ntammic sana kitenge namkubali sanaaa!! hyo mengne niyakibinadam kila mtu na mapungufu yake!!
 
Huyu mama hapo chini anaitwa Hellen Sweya ndio mmliki wa Entertainment Masters inayomiliki Maisha Club zote ,share za kutosha DTV na sasa E FM.Hapo akikagua jengo la maisha club ilipoungua.....






CC CYBERTEQ

okeeeeeei
 
Last edited by a moderator:
Si mbaya hata hivyo.
The point ni kwamba anaenda kuwa nani kule.
Asije akazimwa akawa hata haonekani wala kusikika jumba jipya
 
Omary Katanga nae yupo E Fm so wanaenda kufanya kazi pamoja ya kutangaza kipind cha michezo cha E sports ambacho kinakua hewan saa 1 mpaka moja unusu usiku
 
Back
Top Bottom