Baada ya kitandani, boresha na jikoni

Baada ya kitandani, boresha na jikoni

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,276
Natoa ushauri kwa dada zangu ambao mpo kwenye ndoa Kuhusu mapishi....

Jitahidini kubuni staili mpya za upikaji wa vyakula, kama wanavyofanya wanawake wachache ambao wanalijua hili.....

Haiwezekani pilau la mwaka 2003 mpka leo unalipika hivyo hivyo kisa tu ulifundishwa na bibi. Kama umeweza kubadilika mavazi, muonekano basi kila kitu ncho kibadilishe!

Jifunzeni kuongeza ladha, au kupunguza kitu ambacho kitalifanya pilau kuonekana la tofauti!

Mtu anapika wali wa maji, ndio ule ule tangu anachumbiwa 2001 mpka leo hajabadilisha chochote maji yakichemka anatia chumvi, mchele, moto kwa juu basi kamaliza! Hajui kama mchele sahz unakaangwa na unatoka mtamu balaa!

Michepuko inatuiba sana sio kwenye suala la kungonoka pekee, hata suala la vyakula.....

MABAHARIA MTANIKUBALIA chakula cha mchepuko kinaweza kuzidi utamu kwa 2%-10% kuliko cha mke!

NB: PILAU, WALI wa maji vimetumika kama mfano tu,
 
Tumekuelewa.
Na nyie mjifunze styles tofauti 6*6 sio kila siku kuhesabu mabati kama enzi za mababu na mabibi.
 
Back
Top Bottom