Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Mngejiimarisha kwenye kusuka mipango na mikakati ya chama chenu muone mnaongezaje idadi ya wabunge wa kuchaguliwa 2025 hizi cheap politics ambazo zipo based na watu haziwasaidi.
Wewe hujui tuu,lakini ubaguzi huu junaujua watu wa kasikazini ,yalitukuta Tanga,Moshi,Arusha,Manyara na Morogoro .mwazo kabisa ilianza ukanda mpaka bungeni wakashtuka wakaanza kukemea ubaguzi wa ukanda ,ndio mwendazake akaanza ukabila .ukabila ukaanza kulalamikiwa haukupata sapoti kutoka kwa wasukuma watu wakarimu hawa,akaanza upendeleo kwenye maeneo yatakayo kuwa kwenya mkoa mpya wa chato na jirani yake ,Ndio mara Fundi Mkuu akaingilia kati.ndio hapa tulipo leo .na pia zingatia sana hili. kiongozi akianza ukabila haihusiani na kabila ataa kabila husika linakuwa mhanga wa ubaguzi sawa na kabila lililo baguliwa ,mbaya zaidi wakati wa karma ukichukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom