Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

Kwahiyo Bombardier za Precision siyo Bombardier! Asante.
 
welcome back to the forum..once again would like to thank u for.the kind of patriotism u have shown for the past three years i have known u..and that u are still maintaining that attitude up to now。iam glad that you have seen miracles so to speak linking to your wishes and dreams in this current.government. lets join our hands together to support.the move the.government.is taking.in the.effort s to attain to the middle.class economy country..God.bless.
 
Membe oyeeeeeee! Ufipa oyeeeeeeee! Bsvi ha oyeeeeeeeeeeee! Chadema oyeeeeeeeeeeee! NYUMBU JUUU JUUU JUUUUUUUU ZAIDI. OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 

Naww umejifungua juzi tu,,pumzika kwanza ulee mtoto,,duh
 
Unapofurahia kifo cha Chadema ukafurahia ununuzi wa Bombardier, ni kama Chadema ilikaa madarakani kwa miaka 41 ikashindwa kutekeleza mipango ya maendeleo na CCM imeanza kuongoza serikali 2015 na imeboresha maisha ya Watanzania....
 
Utakufa wewe utaiacha Chadema ikiwa madarakani.
madaraka yapi sasa..madaraka ya ukawa.tayari ilishayachukua..bado mnataka madaraka gani...ya ikulu msahau..watanzania hatuwezi kubali mafisadi waende ikulu..fullstop...chama cheni tu kinafisadiwa mnashindwa kukisimamia , ndio muiweze nchi hii...hahahhahahahaahaahaahahaha mafyalaaa weee..
 
one thing is for sure, unaweza ua vyama vya upinzani lakini kamwe huwezi ua upinzani.
 
one thing is for sure, unaweza ua vyama vya upinzani lakini kamwe huwezi ua upinzani.
ni.mara mia kuwa na upinzani wa kizalendo wenye lengo kweli la kusaidia kuendeleza nchi lakini siyo hawa wapingaji , madalali wa kimataifa...waende kule wakawadalalie wazungu...nchi hawaiwezi...
 
one thing is for sure, unaweza ua vyama vya upinzani lakini kamwe huwezi ua upinzani.
ni.mara mia kuwa na upinzani wa kizalendo wenye lengo kweli la kusaidia kuendeleza nchi lakini siyo hawa wapingaji , madalali wa kimataifa...waende kule wakawadalalie wazungu...nchi hawaiwezi...
 
Ombi langu kwa Mr or Ms Lizaboni, kama Chadema imeshakufa, basi awaambie polisi na CCM wasipoteze resources nyingi za serikali nyingi kwa ajili ya "kumwua" marehemu.

Wanatumia jeshi kubwa sana kupambana na marehemu Chadema, jeshi ambalo ni kubwa kuliko lililotumika kumwondoa Nduli Idd Amini,

Wametumia pesa nyingi sana kwa ajili ya kuwasajili wabunge na madiwani wa upinzani. Kwanini gharama yote hii itumike kwa ajili ya marehemu? Hata mazishi ya kichaga hayagharimu pesa nyingi hivyo!
 
Wewe mjinga kweli uko China hakuna google naona leo umebahatika kutoka nje kidogo umebahatika kuiona Jamii Forum. Hata hujui siasa za Tanzania sasa zikoje. Jinga kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…