Baada ya Kangi Lugola, nani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

Waitara ,atateuliwa kuwa waziri wa Mambo ya ndani.J.ndalichako ataondolewa wizara ya elimu, maliasili na utalii itapatiwa waziri mwingine,
 
Kuna jamaa alikuwa anakuulizia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana na wazee mna muda kweli wa kujikita ktk haya mambo.
 
Waitara ,atateuliwa kuwa waziri wa Mambo ya ndani.J.ndalichako ataondolewa wizara ya elimu, maliasili na utalii itapatiwa waziri mwingine,
Ndalichako itakuwa njema kuondolewa. Ana mbinu ya kumsifia Jiwe huku anafanya yake. Anakula sana hela za taasisi zilizo chini ya wizara yake.
 
Lemutuz mobimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa 3 katika awamu hii katika wizara hii kubebeshwa virago
J.ndalichako, Hamis kigwangala, Prof mbarawa, waziri wa uwekezaji sijui anaitwa nani, mkurugenzi Halmashauri ya nzera,mufindi,Moshi manispaa, Serengeti, nyang'wale, Tabora manispaa,igunga, Gairo, ikungi, babati mji, tanga jiji, Ras morogoro, Das geita mji, Das Moshi, DC Serengeti,iringa mjini, mbeya jiji, RC njombe, RC Kilimanjaro, RC iringa, RC Lindi, hii ni orodha ya watakao ondolewa awamu hii kwenye nafasi zao
 
Hahaha duuh mbona wengi mno mkuu hii itakuwa reshuffle ya aina yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…