Baada ya kaburi la kiyeuyeu kuhamishwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kaburi la kiyeuyeu kuhamishwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jan 23, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakati ujenzi wa barabara kipande cha Iringa-Mafinga ukiendelea,Tanesco nao wamekuwa na zoezi la kurekebisha mpangilio wa nguzo zao.Kwa wanaokumbuka pale mahali palipokuwa na kaburi la kiyeuyeu ambapo nguzo na nyaya za tanesco zilikwepeshwa,hivi sasa Tanesco wameunga umeme straight kupita juu ya lile eneo lilipokuwepo kaburi la Kiyeuyeu.Ninachojiuliza;Ina maana ni kweli Tanesco hapo mwanzo walilikwepa lile eneo kwa kuamini nguvu za giza?,Kama si kweli,je ni kwanini baada ya makaburi kuhamishwa na wao ndo wameamua kupitisha nyaya zao umeme pale mahali?
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Amini usiamini.Mambo hayo yapo.DUNIA INA MAUZA UZA SANA.
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa ni kweli. Walilikwepa kaburi kwasababu lilizuia nishati ya umeme kupita katika nyaya zinazopita juu ya kaburi.
   
 4. T

  Twasila JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Wazungu wasingekimbilia uchawi. Sisi tukikosa maelezo tunakimbilia uchawi. Je tutafika?
   
 5. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Hapo sasa...labda wafafanue wao wenyewe. Ni sawa na kikombe cha babu walikifuata kila mtu mpaka unashangaa....
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nenda pale Tanangozi watafute wazee wa kijiji watakueleza mkasa wote.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu hayo mambo ndio ya kupeleka makumbusho sasa..
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  KUANZIA LEO UJUE KWAMBA MZUNGU NI MCHAWI KULIKO MAELEZO.SEMA UCHAWI WAO NI MODERN....NIMESHUHUDIA MENGI YAHUSUYO UCHAWI NA USHIRIKINA..HUKU USWAZI NILIPO NI NUX MKUU.UMEWAHI KUUNGULIWA NA RISIVA KILA UNAPONUNUA MPYA?UMEWAHI KUPIGWA VIBOKO NA MTU USIYEMUONA?UMEWAHI KUAMKA UKAJIKUTA NJE?UMEWAHI KUFUNGA MILANGO NA ASUBUHI UKAIKUTA WAZI KWA SIKU KADHAA MFULULIZO?UMEWAHI KUPIGWA RISAS NA IKAGOMA KUPENYA MWILINI?ndugu yangu HATUENDELEI KWA MENGI.UNAWEZA USIAMINI ILA NDO HALI HALISI.
   
 9. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa ni kweli. Walilikwepa kaburi kwasababu lilizuia nishati ya umeme kupita katika nyaya zinazopita juu ya kaburi.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  so kama ni hivo na ishu ya kakobe nae kukataa umeme usipite nae ni mwana mauza uza?
  mayb
   
 11. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na huenda watasema gharama halisi ya kulihamisha kaburi hilo yakiwemo maisha ya waliyoshiriki kulihamisha!!
   
 12. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Tatizo halikuwa kwny umeme pekee,pia wajenz wa barabara iliyokuwepo walipata wakati mgumu sana ikiwa ni pamoja mitambo kuzima inapofika eneo la makaburi na umeme kushindwa kuwaka,lakini unajua kila sehem kuna mila na desturi zao vema kuzifuata.ndio maana wajenzi wa sasa walitambua hilo wakashirikiana na viongozi wa tanroads pia wazee wa eneo husika ili mila zipewe nafasi na yote yalifanyika pasipo kificho nawe unaona ujenzi unaendelea na tanesco wamerudisha line yao pale.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Kuna kisa kama Hicho Kenya, sehemu inaitwa "Makina" Road, mpaka leo watu wanakwenda kuzuru, hapo ilishindikana kupita reli (nasikia) ikabidi ipindishwe.
   
 14. g

  gumegume JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 1,060
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  Uchawi upo! Biblia inaeleza wazi juu ya kuwepo kwa wachawi. Inamtaja Simoni mchawi, na kazi zake (MATENDO 8:9-11), na pia Elima mchawi (MATENDO 13:6).

  Vilevile, Biblia inazungumza juu ya wachawi wa Farao, waliofanya "mauzauza" mengi. Hata hivyo, uwezo wa wachawi wa Farao, haukufua dafu, mbele ya uwezo wa Kimungu, uliokuwepo kwa Musa, Mtumishi wa Mungu (KUTOKA 7:8-11). Hatimaye, wachawi walikiri kwamba, uwezo wa Mungu uliokuwepo kwa Mtumishi wa Mungu, Musa; ulikuwa mkuu, kuliko uwezo wao (KuTOKA 8:16-19). Na mwishowe, Musa aliwashughulikia wachawi hao, kwa nguvu za Mungu, na kuwakomesha (KUTOKA 9:8-11).

  Wachawi wa Farao, walitumia uwezo wa kichawi, lakini Mtumishi wa Mungu, Musa, yeye hakutumia uchawi, bali uwezo wa Mungu! Vivyo hivyo, na Mtumishi wa Mungu Kakobe. Kama wachawi wa Tanangozi, waliweza kuzuia umeme usipite kwenye makaburi ya Kiyeuyeu, kwa nguvu za kichawi; ni zaidi sana Mtumishi wa Mungu Kakobe, kwa kuwa anatumia nguvu za Mungu, kama ilivyokuwa kwa Mtumishi wa Mungu, Musa. Kanisa lina thamani kuu, kuliko makaburi!
   
 15. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Don't be fooled,sio kila anayejiita mtumishi wa MUNGU basi ni mtumishi kweli,jisogeze hapo Lagos,kuna watu wanafanya mambo makubwa,kakobe kwao ni kama mwanafunzi wa sunday school.
   
 16. M

  Mamatau Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANESCO hawaamini nguvu za giza. Ukweli halisi na kwa wanaolielewa vizuri eneo lile na mpangilio wa nguzo ulivyokuwa ni kwamba ile nguzo awali ilikuwa inabidi iwekwe katikati ya kaburi! Hakuna cha nguvu za giza hapa!!
   
 17. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Lile kaburi ni la Martin Kiyeyu ambaye ukoo wake ulikuwa ni Kamati ya ufundi ya Chief Mkwawa.Pamoja ni hivyo .Maeneo ya kaburi hilo ni Base ya Jeshi la Chief Mkwawa ni sawa na Lugalo/Upanga .Mjeruman alipata shida sana Kumbana na Mkwawa kwa sababu ya Ngome hiyo ambayo ilijaa ushirikina mkubwa kiasi kwamba makaburi yao yaliongeza ulinzi.Ndio maana Mkwawa hakukamatwa bali alijiua na Wajeruman hawakuamin nguvu zile mpaka wakakata kichwa.Ukweli ni kwamba shetani aliweza kutumia nguvu zake pale na kuzuia umeme. lakini nguvu ya Mungu imezuia umeme kwa Kakobe na huwezi kumuondoa Yesu ili umeme upite
   
 18. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo hunahaja ya kuwatafuta wazee mtafute Willium lukuvi,si unakumbuka LUKUVI aliiwakilisha gvt kwa Babu,Loliondo
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kwani si walishatambika tayari? kama ni hivyo hakuna noma maana mizimu ishakubali umeme na hiyo barabara ipite
   
 20. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo Mungu wa Kakobe Dsm Mwenge na mungu wa Martin Kiyeyu Iringa.una kumbuka nyoka aliyetokana na fimbo ya Mussa alimeza nyoka wote waliotokana na washirikina?Hapa tunapata picha kwamba pamoja na kaburi kuzuia umeme Iringa ,hatimaye kaburi limeondolewa.Sasa pale kwa Kakobe ili umeme upite inahitajika toba ambapo Kikwete ,Ngeleja,Lukuvi,Jairo,Luhanjo na wote hawa wanatakiwa kutubu kwa Mungu wa Kakobe na si vinginevyo!
  N
   
Loading...