Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,070
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
 
Wewe jua tuu! Katika wajinga waliopo duniani basi kundi kubwa ni waislam , ni wadini na wabinafsi sana
 
Prof mwenyewe watu walimbeza sana,mara sijuwi cv yake haikidhi viwango,mara sijuwi nini,sasa hivi mnajifanya kumjuwa sana,mwacheni Prof akawakilishe lakini siku nyingine msiseme mkamaliza.
 
Tanzania ni nchi ya kidini kristo na islamu kwa sasa utasikia zamu ya mwislamu au kwa sasa zamu ya kristo
 
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
Aiseee hii ni mbaya sana Mmeufanya udini kwa Mh Rais saa hizi mnazid kusambaza hiyo sumu
 
Tuna safari ndefu sana kama nchi,ikiwa wananchi kutwa kucha wanaangalia mambo kwa mlengo wa dini
 
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo zilimpongeza je huu ni udini? Au waislamu wako proud baada ya ushindi wa janabi? Je ile tafasiri ya watu wa dini nyingine ya kusema waislamu hawataki elimu dunia naona imewaishia na je watu wa dini nyingine wamechukia baada ya ushindi wa Dr janabi?
Tukatae mambo ya udini
 
Kuna muda huwa najiuliza hivi Wakristo huwa mnatumia nini kufikiri na kujenga hoja ?

Katika jambo ambalo nalijua ni kuwa Wakristo wanachuki mbaya na kali zaidi dhidi ya Waislamu hata kama wakiwa wanakuchekea ila mioyo yao inafukuta chuki isiyo na kifani.

Mnapenda sana chokochoko, hata kwenye mambo ambayo si ya msingi.

Jambo dogo kama hili linawashughulisha kama nini sijui.
 
Wenzio tunaowajua wakirsto wa jf huwa tunapuuza tu ..
Fikiria mtu kupongezwa na watu wa mrengo wake wao inawauma!
Fikiria watu wa aina hiyo na ndo wanajisifu wamesoma sana..
Kwanza hapa hapa jf walimponda hatopata ushindi mara ana elimu ya kuunga unga.leo wamekuja na kuumia kwa kupongezwa na waislam wenzake.
Means hawa watu wanataka waislam wawe wanafanya wanachotaka wao wakristo.

We fikiria mtu anaumia kwa muislam kupongezwa na muislam mwenzake.
 
Kuna muda huwa najiuliza hivi Wakristo huwa mnatumia nini kufikiri na kujenga hoja ?

Katika jambo ambalo nalijua ni kuwa Wakristo wanachuki mbaya na kali zaidi dhidi ya Waislamu hata kama wakiwa wanakuchekea ila mioyo yao inafukuta chuki isiyo na kifani.

Mnapenda sana chokochoko, hata kwenye mambo ambayo si ya msingi.

Jambo dogo kama hili linawashughulisha kama nini sijui.
Nani awe na Chuki na mbumbumbu wa Mecca acheni kujistukia hakuna mkristo serious anawachukia Waislamu ila asilimia kubwa hua naona Wakristo wakiwahurumia Waislamu Maana kundi kubwa la Dini yenu ni ngumbaru first class,
Hiyo Chuki kwa mkristo imeanza lini kama Sio nyie wazee wa kujilipua na jazba za kijuha Ndio sera yenu?
Maghayo
😁😁😁
 
Cha kwanza kupongeza ni haki yao
pili kunatofauti kubwa sana kwa mzazi anayejifungua mtoto wake wa sita na mwingine akijifungua mtoto wake wa kwanza.
lakini mkumbuke kuwa huyu pia ni alhaji na ananafsi yake katika imani aliyonayo hebu tumwache apige kazi.
 
Nani awe na Chuki na mbumbumbu wa Mecca acheni kujistukia hakuna mkristo serious anawachukia Waislamu ila asilimia kubwa hua naona Wakristo wakiwahurumia Waislamu Maana kundi kubwa la Dini yenu ni ngumbaru first class,
Hiyo Chuki kwa mkristo imeanza lini kama Sio nyie wazee wa kujilipua na jazba za kijuha Ndio sera yenu?
Maghayo
😁😁😁

Wewe andika utakavyo andika, lakini huo ukweli hauwezi kubadilika. Sababu hili hata aliyewaumba na anaye wajua vizuri amelisema hili.

Nukta.
 
Back
Top Bottom